1Nitaimba juu ya upendo mkuu wa Bwana milele; kwa kinywa changu nitajulisha uaminifu wako ujulikane kwa vizazi vyote. 2Nitatangaza kuwa upendo wako unasimama imara milele na uaminifu wako umeuthibitisha mbinguni. 3Ulisema, “Nimefanya agano na mteule wangu, nimemwapia mtumishi wangu Daudi, 4‘Nitaimarisha uzao wako milele na kudumisha ufalme wako kwa vizazi vyote.’” 5Ee Bwana, mbingu zinayasifu maajabu yako, uaminifu wako pia katika kusanyiko la watakatifu. 6Kwa kuwa ni nani katika mbingu anayeweza kulinganishwa na Bwana? Ni nani miongoni mwa viumbe vya mbinguni aliye kama Bwana? 7Katika kusanyiko la watakatifu, Mungu huogopwa sana, anahofiwa kuliko wote wanaomzunguka. 8Ee Bwana Mwenye Nguvu Zote, ni nani aliye kama wewe? Ee Bwana, wewe ni mwenye nguvu, na uaminifu wako unakuzunguka. 9Wewe unatawala bahari yenye msukosuko; wakati mawimbi yake yanapoinuka, wewe unayatuliza. 10Wewe ulimponda Rahabu kama mmojawapo wa waliochinjwa; kwa mkono wako wenye nguvu, uliwatawanya adui zako. 11Mbingu ni zako, nayo nchi pia ni yako, uliuwekea ulimwengu msingi pamoja na vyote vilivyomo. 12Uliumba kaskazini na kusini; Tabori na Hermoni wanaliimbia jina lako kwa furaha. 13Mkono wako umejaa uwezo; mkono wako una nguvu, mkono wako wa kuume umetukuzwa. 14Haki na hukumu ndio msingi wa kiti chako cha enzi; upendo na uaminifu vinakutangulia. 15Heri ni wale ambao wamejifunza kukusifu kwa shangwe, wanaotembea katika mwanga wa uwepo wako, Ee Bwana. 16Wanashangilia katika jina lako mchana kutwa, wanafurahi katika haki yako. 17Kwa kuwa wewe ni utukufu na nguvu yao, kwa wema wako unatukuza pembe yetu. 18Naam, ngao yetu ni mali ya Bwana, na mfalme wetu mali ya Aliye Mtakatifu wa Israeli. 19Ulizungumza wakati fulani katika maono, kwa watu wako waaminifu, ukasema: “Nimeweka nguvu kwa shujaa, nimemwinua kijana miongoni mwa watu. 20Nimemwona Daudi, mtumishi wangu, na nimemtia mafuta yangu matakatifu. 21Kitanga changu kitamtegemeza, hakika mkono wangu utamtia nguvu. 22Hakuna adui atakayemtoza ushuru, hakuna mtu mwovu atakayemwonea. 23Nitawaponda adui zake mbele zake na kuwaangamiza watesi wake. 24Upendo wangu mkamilifu utakuwa pamoja naye, kwa Jina langu pembe yake itatukuzwa. 25Nitauweka mkono wake juu ya bahari, mkono wake wa kuume juu ya mito. 26Naye ataniita kwa sauti, ‘Wewe ni Baba yangu, Mungu wangu, Mwamba na Mwokozi wangu.’ 27Nitamteua pia awe mzaliwa wangu wa kwanza, aliyetukuka kuliko wafalme wote wa dunia. 28Nitadumisha upendo wangu kwake milele, na agano langu naye litakuwa imara. 29Nitaudumisha uzao wake milele, kiti chake cha enzi kama mbingu zinavyodumu. 30“Kama wanae wataacha amri yangu na wasifuate sheria zangu, 31kama wakihalifu maagizo yangu na kutoshika amri zangu, 32nitaadhibu dhambi yao kwa fimbo, uovu wao kwa kuwapiga, 33lakini sitauondoa upendo wangu kwake, wala sitausaliti uaminifu wangu kamwe. 34Mimi sitavunja agano langu wala sitabadili lile ambalo midomo yangu imelitamka. 35Mara moja na kwa milele, nimeapa kwa utakatifu wangu, nami sitamdanganya Daudi: 36kwamba uzao wake utaendelea milele, na kiti chake cha enzi kitadumu mbele zangu kama jua; 37kitaimarishwa milele kama mwezi, shahidi mwaminifu angani.” 38Lakini wewe umemkataa, umemdharau, umemkasirikia sana mpakwa mafuta wako. 39Umelikana agano lako na mtumishi wako, na umeinajisi taji yake mavumbini. 40Umebomoa kuta zake zote, na ngome zake zote umezifanya kuwa magofu. 41Wote wapitao karibu wamemnyangʼanya mali zake; amekuwa dharau kwa jirani zake. 42Umeutukuza mkono wa kuume wa adui zake, umewafanya watesi wake wote washangilie. 43Umegeuza makali ya upanga wake, na hukumpa msaada katika vita. 44Umeikomesha fahari yake, na kukiangusha kiti chake cha enzi. 45Umezifupisha siku za ujana wake, umemfunika kwa vazi la aibu. 46Hata lini, Ee Bwana? Utajificha milele? Ghadhabu yako itawaka kama moto hata lini? 47Kumbuka jinsi maisha yangu yanavyopita haraka. Ni kwa ubatili kiasi gani umemuumba mwanadamu! 48Ni mtu gani awezaye kuishi na asione kifo, au kujiokoa mwenyewe kutoka nguvu za kaburi? 49Ee Bwana, uko wapi upendo wako mkuu wa mwanzoni, ambao katika uaminifu wako ulimwapia Daudi? 50Bwana kumbuka jinsi mtumishi wako amesimangwa, jinsi ninavyovumilia moyoni mwangu dhihaka za mataifa yote, 51dhihaka ambazo kwazo adui zako wamenisimanga, Ee Bwana, ambazo kwazo wamesimanga kila hatua ya mpakwa mafuta wako. 52Msifuni Bwana milele! Amen na Amen.
1I will sing of the loving kindness of Yahweh forever. With my mouth, I will make known your faithfulness to all generations. 2I indeed declare, “Love stands firm forever. You established the heavens. Your faithfulness is in them.” 3“I have made a covenant with my chosen one, I have sworn to David, my servant, 4‘I will establish your seed forever, and build up your throne to all generations.’” Selah. 5The heavens will praise your wonders, Yahweh; your faithfulness also in the assembly of the holy ones. 6For who in the skies can be compared to Yahweh? Who among the sons of the heavenly beings is like Yahweh, 7a very awesome God in the council of the holy ones, to be feared above all those who are around him? 8Yahweh, God of Armies, who is a mighty one, like you? Yah, your faithfulness is around you. 9You rule the pride of the sea. When its waves rise up, you calm them. 10You have broken Rahab in pieces, like one of the slain. You have scattered your enemies with your mighty arm. 11The heavens are yours. The earth also is yours; the world and its fullness. You have founded them. 12The north and the south, you have created them. Tabor and Hermon rejoice in your name. 13You have a mighty arm. Your hand is strong, and your right hand is exalted. 14Righteousness and justice are the foundation of your throne. Loving kindness and truth go before your face. 15Blessed are the people who learn to acclaim you. They walk in the light of your presence, Yahweh. 16In your name they rejoice all day. In your righteousness, they are exalted. 17For you are the glory of their strength. In your favor, our horn will be exalted. 18For our shield belongs to Yahweh; our king to the Holy One of Israel. 19Then you spoke in vision to your saints, and said, “I have bestowed strength on the warrior. I have exalted a young man from the people. 20I have found David, my servant. I have anointed him with my holy oil, 21with whom my hand shall be established. My arm will also strengthen him. 22No enemy will tax him. No wicked man will oppress him. 23I will beat down his adversaries before him, and strike those who hate him. 24But my faithfulness and my loving kindness will be with him. In my name, his horn will be exalted. 25I will set his hand also on the sea, and his right hand on the rivers. 26He will call to me, ‘You are my Father, my God, and the rock of my salvation!’ 27I will also appoint him my firstborn, the highest of the kings of the earth. 28I will keep my loving kindness for him forever more. My covenant will stand firm with him. 29I will also make his seed endure forever, and his throne as the days of heaven. 30If his children forsake my law, and don’t walk in my ordinances; 31if they break my statutes, and don’t keep my commandments; 32then I will punish their sin with the rod, and their iniquity with stripes. 33But I will not completely take my loving kindness from him, nor allow my faithfulness to fail. 34I will not break my covenant, nor alter what my lips have uttered. 35Once have I sworn by my holiness, I will not lie to David. 36His seed will endure forever, his throne like the sun before me. 37It will be established forever like the moon, the faithful witness in the sky.” Selah. 38But you have rejected and spurned. You have been angry with your anointed. 39You have renounced the covenant of your servant. You have defiled his crown in the dust. 40You have broken down all his hedges. You have brought his strongholds to ruin. 41All who pass by the way rob him. He has become a reproach to his neighbors. 42You have exalted the right hand of his adversaries. You have made all of his enemies rejoice. 43Yes, you turn back the edge of his sword, and haven’t supported him in battle. 44You have ended his splendor, and thrown his throne down to the ground. 45You have shortened the days of his youth. You have covered him with shame. Selah. 46How long, Yahweh? Will you hide yourself forever? Will your wrath burn like fire? 47Remember how short my time is! For what vanity have you created all the children of men! 48What man is he who shall live and not see death, who shall deliver his soul from the power of Sheol? Selah. 49Lord, where are your former loving kindnesses, which you swore to David in your faithfulness? 50Remember, Lord, the reproach of your servants, how I bear in my heart the taunts of all the mighty peoples, 51With which your enemies have mocked, Yahweh, with which they have mocked the footsteps of your anointed one. 52Blessed be Yahweh forever more. Amen, and Amen.
1Een onderwijzing van Ethan, den Ezrahiet. 2Ik zal de goedertierenheid des HEEREN eeuwiglijk zingen; ik zal Uw waarheid met mijn mond bekend maken, van geslacht tot geslacht. 3Want ik heb gezegd: Uw goedertierenheid zal eeuwiglijk gebouwd worden; in de hemelen zelve hebt Gij Uw waarheid bevestigd, zeggende: 4Ik heb een verbond gemaakt met Mijn uitverkorene; Ik heb Mijn knecht David gezworen: 5Ik zal uw zaad tot in eeuwigheid bevestigen, en uw troon opbouwen van geslacht tot geslacht. Sela. 6Dies loven de hemelen Uw wonderen, o HEERE! ook is Uw getrouwheid in de gemeente der heiligen. 7Want wie mag in den hemel tegen den HEERE geschat worden? Wie is den HEERE gelijk, onder de kinderen der sterken? 8God is grotelijks geducht in den raad der heiligen, en vreselijk boven allen, die rondom Hem zijn. 9O HEERE, God der heirscharen! wie is als Gij, grootmachtig, o HEERE! en Uw getrouwheid is rondom U. 10Gij heerst over de opgeblazenheid der zee; wanneer haar baren zich verheffen, zo stilt Gij ze. 11Gij hebt Rahab verbrijzeld als een verslagene; Gij hebt Uw vijanden verstrooid met den arm Uwer sterkte. 12De hemel is Uwe, ook is de aarde Uwe; de wereld en haar volheid, die hebt Gij gegrond. 13Het noorden en het zuiden, die hebt Gij geschapen; Thabor en Hermon juichen in Uw Naam. 14Gij hebt een arm met macht; Uw hand is sterk, Uw rechterhand is hoog. 15Gerechtigheid en gericht zijn de vastigheid Uws troons; goedertierenheid en waarheid gaan voor Uw aanschijn henen. 16Welgelukzalig is het volk, hetwelk het geklank kent; o HEERE! zij zullen in het licht Uws aanschijns wandelen. 17Zij zullen zich den gansen dag verheugen in Uw Naam, en door Uw gerechtigheid verhoogd worden. 18Want Gij zijt de heerlijkheid hunner sterkte; en door Uw welbehagen zal onze hoorn verhoogd worden. 19Want ons schild is van den HEERE, en onze koning is van den Heilige Israels. 20Toen hebt Gij in een gezicht gesproken van Uw heilige, en gezegd: Ik heb hulp besteld bij een held; Ik heb een verkorene uit het volk verhoogd. 21Ik heb David, Mijn knecht, gevonden; met Mijn heilige olie heb Ik hem gezalfd; 22Met welken Mijn hand vast blijven zal; ook zal hem Mijn arm versterken. 23De vijand zal hem niet dringen, en de zoon der ongerechtigheid zal hem niet onderdrukken. 24Maar Ik zal zijn wederpartijders verpletteren voor zijn aangezicht, en die hem haten, zal Ik plagen. 25En Mijn getrouwheid en Mijn goedertierenheid zullen met hem zijn; en zijn hoorn zal in Mijn Naam verhoogd worden. 26En Ik zal zijn hand in de zee zetten, en zijn rechterhand in de rivieren. 27Hij zal Mij noemen: Gij zijt mijn Vader! mijn God, en de Rotssteen mijns heils! 28Ook zal Ik hem ten eerstgeborenen zoon stellen, ten hoogste over de koningen der aarde. 29Ik zal hem Mijn goedertierenheid in eeuwigheid houden, en Mijn verbond zal hem vast blijven. 30En Ik zal zijn zaad in eeuwigheid zetten, en zijn troon als de dagen der hemelen. 31Indien zijn kinderen Mijn wet verlaten, en in Mijn rechten niet wandelen; 32Indien zij Mijn inzettingen ontheiligen, en Mijn geboden niet houden; 33Zo zal Ik hun overtreding met de roede bezoeken, en hun ongerechtigheid met plagen. 34Maar Mijn goedertierenheid zal Ik van hem niet wegnemen, en in Mijn getrouwheid niet feilen. 35Ik zal Mijn verbond niet ontheiligen, en hetgeen uit Mijn lippen gegaan is, zal Ik niet veranderen. 36Ik heb eens gezworen bij Mijn heiligheid: Zo Ik aan David liege! 37Zijn zaad zal in der eeuwigheid zijn, en zijn troon zal voor Mij zijn gelijk de zon. 38Hij zal eeuwiglijk bevestigd worden, gelijk de maan; en de Getuige in den hemel is getrouw. Sela. 39Maar Gij hebt hem verstoten en verworpen; Gij zijt verbolgen geworden tegen Uw gezalfde. 40Gij hebt het verbond Uws knechts te niet gedaan; Gij hebt zijn kroon ontheiligd tegen de aarde. 41Gij hebt al zijn muren doorgebroken; Gij hebt zijn vestingen nedergeworpen. 42Allen, die den weg voorbijgingen, hebben hem beroofd; zijn naburen is hij tot een smaad geweest. 43Gij hebt de rechterhand zijner wederpartijders verhoogd; Gij hebt al zijn vijanden verblijd. 44Gij hebt ook de scherpte zijns zwaards omgekeerd, en hebt hem niet staande gehouden in den strijd. 45Gij hebt zijn schoonheid doen ophouden; en Gij hebt zijn troon ter aarde nedergestoten. 46Gij hebt de dagen zijner jeugd verkort; Gij hebt hem met schaamte overdekt. Sela. 47Hoe lang, o HEERE! zult Gij U steeds verbergen, zal Uw grimmigheid branden als een vuur? 48Gedenk van hoedanige eeuw ik ben; waarom zoudt Gij aller mensenkinderen tevergeefs geschapen hebben? 49Wat man leeft er, die den dood niet zien zal, die zijn ziel zal bevrijden van het geweld des grafs? Sela. 50HEERE! waar zijn Uw vorige goedertierenheden, die Gij David gezworen hebt bij Uw trouw? 51Gedenk, HEERE! aan de smaad Uwer knechten, dien ik in mijn boezem draag, van alle grote volken. 52Waarmede, o HEERE! Uw vijanden smaden, waarmede zij de voetstappen Uws gezalfden smaden. Geloofd zij de HEERE in eeuwigheid! Amen, ja, amen.
Bonyeza Enter ili kuuwekea mstari huu rangi, kuandika maelezo au kuunakili. Vitufe vya mishale vinakupeleka kwenye mstari unaofuata.
Namba za mistari hufuata tafsiri uliyochagua, na katika sura chache zinaweza kutofautiana kwa mstari mmoja.