1Enyi watu wangu, sikieni mafundisho yangu, sikilizeni maneno ya kinywa changu. 2Nitafungua kinywa changu kwa mafumbo, nitazungumza mambo yaliyofichika, mambo ya kale: 3yale ambayo tuliyasikia na kuyajua, yale ambayo baba zetu walituambia. 4Hatutayaficha kwa watoto wao; tutakiambia kizazi kijacho matendo yastahiliyo sifa ya Bwana, uweza wake, na maajabu aliyoyafanya. 5Aliagiza amri kwa Yakobo na akaweka sheria katika Israeli, ambazo aliwaamuru baba zetu wawafundishe watoto wao, 6ili kizazi kijacho kizijue, pamoja na watoto ambao watazaliwa, nao pia wapate kuwaeleza watoto wao. 7Ndipo wangeweka tumaini lao kwa Mungu, nao wasingesahau matendo yake, bali wangalizishika amri zake. 8Ili wasifanane na baba zao, waliokuwa kizazi cha ukaidi na uasi, ambao roho zao hazikuwa na uaminifu kwake, ambao roho zao hazikumwamini. 9Watu wa Efraimu, ingawa walijifunga pinde, walikimbia siku ya vita. 10Hawakulishika agano la Mungu na walikataa kuishi kwa sheria yake. 11Walisahau aliyokuwa ameyatenda, maajabu aliyokuwa amewaonyesha. 12Alitenda miujiza machoni mwa baba zao, huko Soani, katika nchi ya Misri. 13Aliigawanya bahari akawapitisha, alifanya maji yasimame imara kama ukuta. 14Aliwaongoza kwa wingu mchana na kwa nuru kutoka kwenye moto usiku kucha. 15Alipasua miamba jangwani na akawapa maji tele kama bahari, 16alitoa vijito kutoka kwenye jabali lililochongoka, akayafanya maji yatiririke kama mito. 17Lakini waliendelea kutenda dhambi dhidi yake, wakiasi jangwani dhidi ya Aliye Juu Sana. 18Kwa makusudi walimjaribu Mungu, wakidai vyakula walivyovitamani. 19Walinena dhidi ya Mungu, wakisema, “Je, Mungu aweza kuandaa meza jangwani? 20Alipopiga mwamba, maji yalitoka kwa nguvu, vijito vikatiririka maji mengi. Lakini je, aweza kutupa chakula pia? Je, anaweza kuwapa watu wake nyama?” 21Bwana alipowasikia, alikasirika sana, moto wake ukawa dhidi ya Yakobo, na ghadhabu yake ikawaka dhidi ya Israeli, 22kwa kuwa hawakumwamini Mungu, wala kuutumainia ukombozi wake. 23Hata hivyo alitoa amri kwa anga zilizo juu na kufungua milango ya mbingu, 24akawanyeshea mana ili watu wale; aliwapa nafaka ya mbinguni. 25Watu walikula mkate wa malaika, akawatumia chakula chote ambacho wangeliweza kula. 26Aliachia upepo wa mashariki kutoka kwenye mbingu na kuuongoza upepo wa kusini kwa uwezo wake. 27Aliwanyeshea nyama kama mavumbi, ndege warukao kama mchanga wa pwani. 28Aliwafanya washuke ndani ya kambi yao, kuzunguka mahema yao yote. 29Walikula na kusaza, kwa maana alikuwa amewapa kile walichotamani. 30Kabla hawajamaliza kula walichokitamani, hata kilipokuwa kingali bado vinywani mwao, 31hasira ya Mungu ikawaka juu yao, akawaua wale waliokuwa na nguvu zaidi miongoni mwao, akiwaangusha vijana wa Israeli. 32Licha ya haya yote, waliendelea kutenda dhambi, licha ya maajabu yake, hawakuamini. 33Kwa hiyo akamaliza siku zao katika ubatili na miaka yao katika vitisho. 34Kila mara Mungu alipowaua baadhi yao, waliosalia walimtafuta, walimgeukia tena kwa shauku. 35Walikumbuka kwamba Mungu alikuwa Mwamba wao, kwamba Mungu Aliye Juu Sana alikuwa Mkombozi wao. 36Lakini walimdanganya kwa vinywa vyao, wakisema uongo kwa ndimi zao, 37mioyo yao haikuwa thabiti kwake, wala hawakuwa waaminifu katika agano lake. 38Hata hivyo alikuwa na huruma, alisamehe maovu yao na hakuwaangamiza. Mara kwa mara alizuia hasira yake, wala hakuchochea ghadhabu yake yote. 39Alikumbuka kwamba wao walikuwa nyama tu, upepo upitao ambao haurudi. 40Mara ngapi walimwasi jangwani na kumhuzunisha nyikani! 41Walimjaribu Mungu mara kwa mara, wakamkasirisha yeye Aliye Mtakatifu wa Israeli. 42Hawakukumbuka uwezo wake, siku aliyowakomboa kutoka kwa mtesi, 43siku aliyoonyesha ishara zake za ajabu huko Misri, maajabu yake huko Soani. 44Aligeuza mito yao kuwa damu, hawakuweza kunywa maji kutoka vijito vyao. 45Aliwapelekea makundi ya mainzi yakawala, na vyura wakawaharibu. 46Aliruhusu tunutu kuharibu mimea yao, mazao yao kwa nzige. 47Aliharibu mizabibu yao kwa mvua ya mawe na mikuyu yao kwa mvua iliyochangamana na theluji. 48Aliwaachia mifugo yao mvua ya mawe, akayapiga makundi ya wanyama wao kwa radi. 49Aliwafungulia hasira yake kali, ghadhabu yake, hasira na uadui, na kundi la malaika wa kuharibu. 50Aliitengenezea njia hasira yake, hakuwaepusha na kifo, bali aliwaachia tauni. 51Aliwapiga wazaliwa wote wa kwanza wa Misri, matunda ya kwanza ya ujana katika mahema ya Hamu. 52Lakini aliwatoa watu wake kama kundi, akawaongoza kama kondoo kupitia jangwani. 53Aliwaongoza salama, wala hawakuogopa, bali bahari iliwameza adui zao. 54Hivyo akawaleta hadi kwenye mpaka wa nchi yake takatifu, hadi nchi ya vilima ambayo mkono wake wa kuume ulikuwa umeitwaa. 55Aliyafukuza mataifa mbele yao, na kuwagawia nchi zao kama urithi, aliwakalisha makabila ya Israeli katika makao yao. 56Lakini wao walimjaribu Mungu, na kuasi dhidi ya Yeye Aliye Juu Sana, wala hawakuzishika sheria zake. 57Kama baba zao, hawakuwa thabiti wala waaminifu, wakawa wasioweza kutegemewa kama upinde wenye kasoro. 58Wakamkasirisha Mungu kwa mahali pao pa juu pa kuabudia miungu, wakachochea wivu wake kwa sanamu zao. 59Wakati Mungu alipowasikia, alikasirika sana, akamkataa Israeli kabisa. 60Akaiacha hema ya Shilo, hema aliyokuwa ameiweka katikati ya wanadamu. 61Akalipeleka Sanduku la nguvu zake utumwani, utukufu wake mikononi mwa adui. 62Aliachia watu wake wauawe kwa upanga, akaukasirikia sana urithi wake. 63Moto uliwaangamiza vijana wao, na wanawali wao hawakuimbiwa nyimbo za arusi, 64makuhani wao waliuawa kwa upanga, wala wajane wao hawakuweza kulia. 65Ndipo Bwana alipoamka kama vile kuamka usingizini, kama vile mtu aamkavyo kutoka kwenye bumbuazi la mvinyo. 66Aliwapiga na kuwashinda adui zake, akawatia katika aibu ya milele. 67Ndipo alipozikataa hema za Yosefu, hakulichagua kabila la Efraimu, 68lakini alilichagua kabila la Yuda, Mlima Sayuni, ambao aliupenda. 69Alijenga patakatifu pake kama vilele, kama dunia ambayo aliimarisha milele. 70Akamchagua Daudi mtumishi wake na kumtoa kwenye mazizi ya kondoo. 71Kutoka kuchunga kondoo alimleta kuwa mchungaji wa watu wake Yakobo, wa Israeli urithi wake. 72Naye Daudi aliwachunga kwa uadilifu wa moyo, kwa mikono ya ustadi aliwaongoza.
1Hear my teaching, my people. Turn your ears to the words of my mouth. 2I will open my mouth in a parable. I will utter dark sayings of old, 3Which we have heard and known, and our fathers have told us. 4We will not hide them from their children, telling to the generation to come the praises of Yahweh, his strength, and his wondrous works that he has done. 5For he established a testimony in Jacob, and appointed a teaching in Israel, which he commanded our fathers, that they should make them known to their children; 6that the generation to come might know, even the children who should be born; who should arise and tell their children, 7that they might set their hope in God, and not forget the works of God, but keep his commandments, 8and might not be as their fathers, a stubborn and rebellious generation, a generation that didn’t make their hearts loyal, whose spirit was not steadfast with God. 9The children of Ephraim, being armed and carrying bows, turned back in the day of battle. 10They didn’t keep God’s covenant, and refused to walk in his law. 11They forgot his doings, his wondrous works that he had shown them. 12He did marvelous things in the sight of their fathers, in the land of Egypt, in the field of Zoan. 13He split the sea, and caused them to pass through. He made the waters stand as a heap. 14In the daytime he also led them with a cloud, and all night with a light of fire. 15He split rocks in the wilderness, and gave them drink abundantly as out of the depths. 16He brought streams also out of the rock, and caused waters to run down like rivers. 17Yet they still went on to sin against him, to rebel against the Most High in the desert. 18They tempted God in their heart by asking food according to their desire. 19Yes, they spoke against God. They said, “Can God prepare a table in the wilderness? 20Behold, he struck the rock, so that waters gushed out, and streams overflowed. Can he give bread also? Will he provide flesh for his people?” 21Therefore Yahweh heard, and was angry. A fire was kindled against Jacob, anger also went up against Israel, 22because they didn’t believe in God, and didn’t trust in his salvation. 23Yet he commanded the skies above, and opened the doors of heaven. 24He rained down manna on them to eat, and gave them food from the sky. 25Man ate the bread of angels. He sent them food to the full. 26He caused the east wind to blow in the sky. By his power he guided the south wind. 27He rained also flesh on them as the dust; winged birds as the sand of the seas. 28He let them fall in the midst of their camp, around their habitations. 29So they ate, and were well filled. He gave them their own desire. 30They didn’t turn from their cravings. Their food was yet in their mouths, 31when the anger of God went up against them, killed some of their fattest, and struck down the young men of Israel. 32For all this they still sinned, and didn’t believe in his wondrous works. 33Therefore he consumed their days in vanity, and their years in terror. 34When he killed them, then they inquired after him. They returned and sought God earnestly. 35They remembered that God was their rock, the Most High God, their redeemer. 36But they flattered him with their mouth, and lied to him with their tongue. 37For their heart was not right with him, neither were they faithful in his covenant. 38But he, being merciful, forgave iniquity, and didn’t destroy them. Yes, many times he turned his anger away, and didn’t stir up all his wrath. 39He remembered that they were but flesh, a wind that passes away, and doesn’t come again. 40How often they rebelled against him in the wilderness, and grieved him in the desert! 41They turned again and tempted God, and provoked the Holy One of Israel. 42They didn’t remember his hand, nor the day when he redeemed them from the adversary; 43how he set his signs in Egypt, his wonders in the field of Zoan, 44he turned their rivers into blood, and their streams, so that they could not drink. 45He sent among them swarms of flies, which devoured them; and frogs, which destroyed them. 46He gave also their increase to the caterpillar, and their labor to the locust. 47He destroyed their vines with hail, their sycamore fig trees with frost. 48He gave over their livestock also to the hail, and their flocks to hot thunderbolts. 49He threw on them the fierceness of his anger, wrath, indignation, and trouble, and a band of angels of evil. 50He made a path for his anger. He didn’t spare their soul from death, but gave their life over to the pestilence, 51and struck all the firstborn in Egypt, the chief of their strength in the tents of Ham. 52But he led out his own people like sheep, and guided them in the wilderness like a flock. 53He led them safely, so that they weren’t afraid, but the sea overwhelmed their enemies. 54He brought them to the border of his sanctuary, to this mountain, which his right hand had taken. 55He also drove out the nations before them, allotted them for an inheritance by line, and made the tribes of Israel to dwell in their tents. 56Yet they tempted and rebelled against the Most High God, and didn’t keep his testimonies; 57but turned back, and dealt treacherously like their fathers. They were turned aside like a deceitful bow. 58For they provoked him to anger with their high places, and moved him to jealousy with their engraved images. 59When God heard this, he was angry, and greatly abhorred Israel; 60So that he abandoned the tent of Shiloh, the tent which he placed among men; 61and delivered his strength into captivity, his glory into the adversary’s hand. 62He also gave his people over to the sword, and was angry with his inheritance. 63Fire devoured their young men. Their virgins had no wedding song. 64Their priests fell by the sword, and their widows couldn’t weep. 65Then the Lord awakened as one out of sleep, like a mighty man who shouts by reason of wine. 66He struck his adversaries backward. He put them to a perpetual reproach. 67Moreover he rejected the tent of Joseph, and didn’t choose the tribe of Ephraim, 68But chose the tribe of Judah, Mount Zion which he loved. 69He built his sanctuary like the heights, like the earth which he has established forever. 70He also chose David his servant, and took him from the sheepfolds; 71from following the ewes that have their young, he brought him to be the shepherd of Jacob, his people, and Israel, his inheritance. 72So he was their shepherd according to the integrity of his heart, and guided them by the skillfulness of his hands.
1Een onderwijzing van Asaf. O mijn volk! neem mijn leer ter oren; neigt ulieder oor tot de redenen mijns monds. 2Ik zal mijn mond opendoen met spreuken; ik zal verborgenheden overvloediglijk uitstorten, van ouds her; 3Die wij gehoord hebben en weten ze, en onze vaders ons verteld hebben. 4Wij zullen het niet verbergen voor hun kinderen, voor het navolgende geslacht, vertellende de loffelijkheden des HEEREN, en Zijn sterkheid, en Zijn wonderen, die Hij gedaan heeft. 5Want Hij heeft een getuigenis opgericht in Jakob, en een wet gesteld in Israel; die Hij onzen vaderen geboden heeft, dat zij ze hun kinderen zouden bekend maken; 6Opdat het navolgende geslacht die weten zou, de kinderen, die geboren zouden worden; en zouden opstaan, en vertellen ze hun kinderen; 7En dat zij hun hoop op God zouden stellen, en Gods daden niet vergeten, maar Zijn geboden bewaren; 8En dat zij niet zouden worden gelijk hun vaders, een wederhorig en wederspannig geslacht; een geslacht, dat zijn hart niet richtte, en welks geest niet getrouw was met God. 9(De kinderen van Efraim, gewapende boogschutters, keerden om ten dage des strijds.) 10Zij hielden Gods verbond niet, en weigerden te wandelen in Zijn wet. 11En zij vergaten Zijn daden, en Zijn wonderen, die Hij hun had doen zien. 12Voor hun vaderen had Hij wonder gedaan, in Egypteland, in het veld van Zoan. 13Hij kliefde de zee, en deed er hen doorgaan; en de wateren deed Hij staan als een hoop. 14En Hij leidde hen des daags met een wolk, en den gansen nacht met een licht des vuurs. 15Hij kliefde de rotsstenen in de woestijn, en drenkte hen overvloedig, als uit afgronden. 16Want Hij bracht stromen voort uit de steenrots, en deed de wateren afdalen als rivieren. 17Nog voeren zij wijders voort tegen Hem te zondigen, verbitterende den Allerhoogste in de dorre wildernis. 18En zij verzochten God in hun hart, begerende spijs naar hun lust. 19En zij spraken tegen God, zij zeiden: Zou God een tafel kunnen toerichten in de woestijn? 20Ziet, Hij heeft den rotssteen geslagen, dat er wateren uitvloeiden, en beken overvloediglijk uitbraken, zou Hij ook brood kunnen geven? Zou Hij Zijn volke vlees toebereiden? 21Daarom hoorde de HEERE, en werd verbolgen; en een vuur werd ontstoken tegen Jakob, en toorn ging ook op tegen Israel; 22Omdat zij in God niet geloofden, en op Zijn heil niet vertrouwden. 23Daar Hij den wolken van boven gebood, en de deuren des hemels opende; 24En regende op hen het Man om te eten, en gaf hun hemels koren. 25Een iegelijk at het brood der Machtigen; Hij zond hun teerkost tot verzadiging. 26Hij dreef den oostenwind voort in den hemel, en voerde den zuidenwind aan door Zijn sterkte; 27En regende op hen vlees als stof, en gevleugeld gevogelte als zand der zeeen; 28En deed het vallen in het midden zijns legers, rondom zijn woningen. 29Toen aten zij, en werden zeer zat; zodat Hij hun hun lust toebracht. 30Zij waren nog niet vervreemd van hun lust; hun spijs was nog in hun mond, 31Als Gods toorn tegen hen opging, dat Hij van hun vetsten doodde, en de uitgelezenen van Israel nedervelde. 32Boven dit alles zondigden zij nog, en geloofden niet, door Zijn wonderen. 33Dies deed Hij hun dagen vergaan in ijdelheid, en hun jaren in verschrikking. 34Als Hij hen doodde, zo vraagden zij naar Hem, en keerden weder, en zochten God vroeg; 35En gedachten, dat God hun Rotssteen was, en God, de Allerhoogste, hun Verlosser. 36En zij vleiden Hem met hun mond, en logen Hem met hun tong. 37Want hun hart was niet recht met Hem, en zij waren niet getrouw in Zijn verbond. 38Doch Hij, barmhartig zijnde, verzoende de ongerechtigheid, en verdierf hen niet; maar wendde dikwijls Zijn toorn af, en wekte Zijn ganse grimmigheid niet op. 39En Hij dacht, dat zij vlees waren, een wind, die henengaat en niet wederkeert. 40Hoe dikwijls verbitterden zij Hem in de woestijn, deden Hem smart aan in de wildernis! 41Want zij kwamen alweder, en verzochten God, en stelden den Heilige Israels een perk. 42Zij dachten niet aan Zijn hand, aan den dag, toen Hij hen van den wederpartijder verloste; 43Hoe Hij Zijn tekenen stelde in Egypte, en Zijn wonderheden in het veld van Zoan; 44En hun vloeden in bloed veranderde, en hun stromen, opdat zij niet zouden drinken. 45Hij zond een vermenging van ongedierte onder hen, dat hen verteerde, en vorsen, die hen verdierven. 46En Hij gaf hun gewas den kruidworm, en hun arbeid den sprinkhaan. 47Hij doodde hun wijnstok door den hagel, en hun wilde vijgebomen door vurigen hagelsteen. 48Ook gaf Hij hun vee den hagel over, en hun beesten aan de vurige kolen. 49Hij zond onder hen de hittigheid Zijns toorns, verbolgenheid, en verstoordheid, en benauwdheid, met uitzending der boden van veel kwaads. 50Hij woog een pad voor Zijn toorn; Hij onttrok hun ziel niet van den dood; en hun gedierte gaf Hij aan de pestilentie over. 51En Hij sloeg al het eerstgeborene in Egypte, het beginsel der krachten in de tenten van Cham. 52En Hij voerde Zijn volk als schapen, en leidde hen, als een kudde, in de woestijn. 53Ja, Hij leidde hen zeker, zodat zij niet vreesden; want de zee had hun vijanden overdekt. 54En Hij bracht hen tot de landpale Zijner heiligheid, tot dezen berg, dien Zijn rechterhand verkregen heeft. 55En Hij verdreef voor hun aangezicht de heidenen, en deed hen vallen in het snoer hunner erfenis, en deed de stammen Israels in hun tenten wonen. 56Maar zij verzochten en verbitterden God, den Allerhoogste, en onderhielden Zijn getuigenissen niet. 57En zij weken terug, en handelden trouwelooslijk, gelijk hun vaders; zij zijn omgekeerd, als een bedriegelijke boog. 58En zij verwekten Hem tot toorn door hun hoogten, en verwekten Hem tot ijver door hun gesneden beelden. 59God hoorde het en werd verbolgen, en versmaadde Israel zeer. 60Dies verliet Hij den tabernakel te Silo, de tent, die Hij tot een woning gesteld had onder de mensen. 61En Hij gaf Zijn sterkte in de gevangenis, en Zijn heerlijkheid in de hand des wederpartijders. 62En Hij leverde Zijn volk over ten zwaarde, en werd verbolgen tegen Zijn erfenis. 63Het vuur verteerde hun jongelingen, en hun jonge dochters werden niet geprezen. 64Hun priesters vielen door het zwaard, en hun weduwen weenden niet. 65Toen ontwaakte de Heere, als een slapende, als een held, die juicht van den wijn. 66En Hij sloeg Zijn wederpartijders aan het achterste; Hij deed hun eeuwige smaadheid aan. 67Doch Hij verwierp de tent van Jozef, en den stam van Efraim verkoos Hij niet. 68Maar Hij verkoos den stam van Juda, den berg Sion, dien Hij liefhad. 69En Hij bouwde Zijn heiligdom als hoogten, als de aarde, die Hij gegrond heeft in eeuwigheid. 70En Hij verkoos Zijn knecht David, en nam hem van de schaapskooien; 71Van achter de zogende schapen deed Hij hem komen, om te weiden Jakob, Zijn volk, en Israel, Zijn erfenis. 72Ook heeft hij hen geweid naar de oprechtheid zijns harten, en heeft hen geleid met een zeer verstandig beleid zijner handen.
Bonyeza Enter ili kuuwekea mstari huu rangi, kuandika maelezo au kuunakili. Vitufe vya mishale vinakupeleka kwenye mstari unaofuata.
Namba za mistari hufuata tafsiri uliyochagua, na katika sura chache zinaweza kutofautiana kwa mstari mmoja.