1Ee Bwana, usikie maombi yangu, kilio changu cha kuomba msaada kikufikie. 2Usinifiche uso wako ninapokuwa katika shida. Unitegee sikio lako, ninapoita, unijibu kwa upesi. 3Kwa kuwa siku zangu zinatoweka kama moshi, mifupa yangu inaungua kama kaa la moto. 4Moyo wangu umefifia na kunyauka kama jani, ninasahau kula chakula changu. 5Kwa sababu ya kusononeka kwangu kwa uchungu, nimebakia ngozi na mifupa. 6Nimekuwa kama bundi wa jangwani, kama bundi kwenye magofu. 7Nilalapo sipati usingizi, nimekuwa kama ndege mpweke kwenye paa la nyumba. 8Mchana kutwa adui zangu hunidhihaki, wale wanaonizunguka hutumia jina langu kama laana. 9Ninakula majivu kama chakula changu na nimechanganya kinywaji changu na machozi 10kwa sababu ya ghadhabu yako kuu, kwa maana umeniinua na kunitupa kando. 11Siku zangu ni kama kivuli cha jioni, ninanyauka kama jani. 12Lakini wewe, Ee Bwana, umeketi katika kiti chako cha enzi milele, sifa zako za ukuu zaendelea vizazi vyote. 13Utainuka na kuihurumia Sayuni, kwa maana ni wakati wa kumwonyesha wema; wakati uliokubalika umewadia. 14Kwa maana mawe yake ni ya thamani kwa watumishi wako, vumbi lake lenyewe hulionea huruma. 15Mataifa wataogopa jina la Bwana, wafalme wote wa dunia watauheshimu utukufu wako. 16Kwa maana Bwana ataijenga tena Sayuni na kutokea katika utukufu wake. 17Ataitikia maombi ya mtu mkiwa, wala hatadharau hoja yao. 18Hili na liandikwe kwa ajili ya kizazi kijacho, ili taifa litakaloumbwa baadaye waweze kumsifu Bwana: 19“Bwana alitazama chini kutoka patakatifu pake palipo juu, kutoka mbinguni alitazama dunia, 20kusikiliza vilio vya uchungu vya wafungwa na kuwaweka huru wale waliohukumiwa kufa.” 21Kwa hiyo jina la Bwana latangazwa huko Sayuni na sifa zake katika Yerusalemu, 22wakati mataifa na falme zitakapokusanyika ili kumwabudu Bwana. 23Katika kuishi kwangu alivunja nguvu zangu, akafupisha siku zangu. 24Ndipo niliposema: “Ee Mungu wangu, usinichukue katikati ya siku zangu; miaka yako inaendelea vizazi vyote. 25Hapo mwanzo uliweka misingi ya dunia, nazo mbingu ni kazi ya mikono yako. 26Hizi zitatoweka, lakini wewe utadumu, zote zitachakaa kama vazi. Utazibadilisha kama nguo nazo zitaondoshwa. 27Lakini wewe, U yeye yule, nayo miaka yako haikomi kamwe. 28Watoto wa watumishi wako wataishi mbele zako; wazao wao wataimarishwa mbele zako.”
1Hear my prayer, Yahweh! Let my cry come to you. 2Don’t hide your face from me in the day of my distress. Turn your ear to me. Answer me quickly in the day when I call. 3For my days consume away like smoke. My bones are burned as a torch. 4My heart is blighted like grass, and withered, for I forget to eat my bread. 5By reason of the voice of my groaning, my bones stick to my skin. 6I am like a pelican of the wilderness. I have become as an owl of the waste places. 7I watch, and have become like a sparrow that is alone on the housetop. 8My enemies reproach me all day. Those who are mad at me use my name as a curse. 9For I have eaten ashes like bread, and mixed my drink with tears, 10Because of your indignation and your wrath, for you have taken me up, and thrown me away. 11My days are like a long shadow. I have withered like grass. 12But you, Yahweh, will remain forever; your renown endures to all generations. 13You will arise and have mercy on Zion; for it is time to have pity on her. Yes, the set time has come. 14For your servants take pleasure in her stones, and have pity on her dust. 15So the nations will fear Yahweh’s name; all the kings of the earth your glory. 16For Yahweh has built up Zion. He has appeared in his glory. 17He has responded to the prayer of the destitute, and has not despised their prayer. 18This will be written for the generation to come. A people which will be created will praise Yah. 19For he has looked down from the height of his sanctuary. From heaven, Yahweh saw the earth; 20to hear the groans of the prisoner; to free those who are condemned to death; 21that men may declare Yahweh’s name in Zion, and his praise in Jerusalem; 22when the peoples are gathered together, the kingdoms, to serve Yahweh. 23He weakened my strength along the course. He shortened my days. 24I said, “My God, don’t take me away in the midst of my days. Your years are throughout all generations. 25Of old, you laid the foundation of the earth. The heavens are the work of your hands. 26They will perish, but you will endure. Yes, all of them will wear out like a garment. You will change them like a cloak, and they will be changed. 27But you are the same. Your years will have no end. 28The children of your servants will continue. Their seed will be established before you.”
1Een gebed des verdrukten, als hij overstelpt is, en zijn klacht uitstort voor het aangezicht des HEEREN. 2O HEERE! hoor mijn gebed, en laat mijn geroep tot U komen. 3Verberg Uw aangezicht niet voor mij, neig Uw oor tot mij ten dage mijner benauwdheid; ten dagen als ik roep, verhoor mij haastelijk. 4Want mijn dagen zijn vergaan als rook, en mijn gebeenten zijn uitgebrand als een haard. 5Mijn hart is geslagen en verdord als gras, zodat ik vergeten heb mijn brood te eten. 6Mijn gebeente kleeft aan mijn vlees, vanwege de stem mijns zuchtens. 7Ik ben een roerdomp der woestijn gelijk geworden, ik ben geworden als een steenuil der wildernissen. 8Ik waak, en ben geworden als een eenzame mus op het dak. 9Mijn vijanden smaden mij al den dag; die tegen mij razen, zweren bij mij. 10Want ik eet as als brood, en vermeng mijn drank met tranen. 11Vanwege Uw verstoordheid en Uw groten toorn; want Gij hebt mij verheven, en mij weder nedergeworpen. 12Mijn dagen zijn als een afgaande schaduw, en ik verdor als gras. 13Maar Gij, HEERE! blijft in eeuwigheid, en Uw gedachtenis van geslacht tot geslacht. 14Gij zult opstaan, Gij zult U ontfermen over Sion, want de tijd om haar genadig te zijn, want de bestemde tijd is gekomen. 15Want Uw knechten hebben een welgevallen aan haar stenen, en hebben medelijden met haar gruis. 16Dan zullen de heidenen den Naam des HEEREN vrezen, en alle koningen der aarde Uw heerlijkheid. 17Als de HEERE Sion zal opgebouwd hebben, in Zijn heerlijkheid zal verschenen zijn, 18Zich gewend zal hebben tot het gebed desgenen, die gans ontbloot is, en niet versmaad hebben hunlieder gebed; 19Dat zal geschreven worden voor het navolgende geslacht; en het volk, dat geschapen zal worden, zal den HEERE loven; 20Omdat Hij uit de hoogte Zijns heiligdoms zal hebben nederwaarts gezien; dat de HEERE uit den hemel op de aarde geschouwd zal hebben; 21Om het zuchten der gevangenen te horen, om los te maken de kinderen des doods; 22Opdat men den Naam des HEEREN vertelle te Sion, en Zijn lof te Jeruzalem; 23Wanneer de volken samen zullen vergaderd worden, ook de koninkrijken, om den HEERE te dienen. 24Hij heeft mijn kracht op den weg ter nedergedrukt; mijn dagen heeft Hij verkort. 25Ik zeide: Mijn God! neem mij niet weg in het midden mijner dagen; Uw jaren zijn van geslacht tot geslacht. 26Gij hebt voormaals de aarde gegrond, en de hemelen zijn het werk Uwer handen; 27Die zullen vergaan, maar Gij zult staande blijven; en zij alle zullen als een kleed verouden; Gij zult ze veranderen als een gewaad, en zij zullen veranderd zijn. 28Maar Gij zijt Dezelfde, en Uw jaren zullen niet geeindigd worden. De kinderen Uwer knechten zullen wonen, en hun zaad zal voor Uw aangezicht bevestigd worden.
Bonyeza Enter ili kuuwekea mstari huu rangi, kuandika maelezo au kuunakili. Vitufe vya mishale vinakupeleka kwenye mstari unaofuata.
Namba za mistari hufuata tafsiri uliyochagua, na katika sura chache zinaweza kutofautiana kwa mstari mmoja.