1Msifuni Bwana. Nitamtukuza Bwana kwa moyo wangu wote, katika baraza la wanyofu na katika kusanyiko. 2Kazi za Bwana ni kuu, wote wanaopendezwa nazo huzitafakari. 3Kazi zake zimejaa fahari na utukufu, haki yake hudumu daima. 4Amefanya maajabu yake yakumbukwe, Bwana ni mwenye neema na huruma. 5Huwapa chakula wale wanaomcha, hulikumbuka agano lake milele. 6Amewaonyesha watu wake uwezo wa kazi zake, akiwapa nchi za mataifa mengine. 7Kazi za mikono yake ni za uaminifu na haki, mausia yake yote ni ya kuaminika. 8Zinadumu milele na milele, zikifanyika kwa uaminifu na unyofu. 9Aliwapa watu wake ukombozi, aliamuru agano lake milele: jina lake ni takatifu na la kuogopwa. 10Kumcha Bwana ndicho chanzo cha hekima, wote wanaozifuata amri zake wana busara. Sifa zake zadumu milele.
1Praise Yah! I will give thanks to Yahweh with my whole heart, in the council of the upright, and in the congregation. 2Yahweh’s works are great, pondered by all those who delight in them. 3His work is honor and majesty. His righteousness endures forever. 4He has caused his wonderful works to be remembered. Yahweh is gracious and merciful. 5He has given food to those who fear him. He always remembers his covenant. 6He has shown his people the power of his works, in giving them the heritage of the nations. 7The works of his hands are truth and justice. All his precepts are sure. 8They are established forever and ever. They are done in truth and uprightness. 9He has sent redemption to his people. He has ordained his covenant forever. His name is holy and awesome! 10The fear of Yahweh is the beginning of wisdom. All those who do his work have a good understanding. His praise endures forever!
1Hallelujah! Aleph. Ik zal den HEERE loven van ganser harte; Beth. In den raad en vergadering der oprechten. 2Gimel. De werken des HEEREN zijn groot; Daleth. zij worden gezocht van allen, die er lust in hebben. 3He. Zijn doen is majesteit en heerlijkheid; Vau. en zijn gerechtigheid bestaat in der eeuwigheid. 4Zain. Hij heeft Zijn wonderen een gedachtenis gemaakt; Cheth. de HEERE is genadig en barmhartig. 5Teth. Hij heeft degenen, die Hem vrezen, spijs gegeven; Jod. Hij gedenkt in der eeuwigheid aan Zijn verbond. 6Caph. Hij heeft de kracht Zijner werken Zijn volke bekend gemaakt; Lamed. hun gevende de erve der heidenen. 7Mem. De werken Zijner handen zijn waarheid en oordeel; Nun. al Zijn bevelen zijn getrouw. 8Samech. Zij zijn ondersteund voor altoos, en in eeuwigheid; Ain. zijnde gedaan in waarheid en oprechtigheid. 9Pe. Hij heeft Zijn volke verlossing gezonden; Tsade. Hij heeft Zijn verbond in eeuwigheid geboden; Koph. Zijn Naam is heilig en vreselijk. 10Resch. De vreze des HEEREN is het beginsel der wijsheid; Schin. allen, die ze doen, hebben goed verstand; Thau. Zijn lof bestaat tot in der eeuwigheid.
Bonyeza Enter ili kuuwekea mstari huu rangi, kuandika maelezo au kuunakili. Vitufe vya mishale vinakupeleka kwenye mstari unaofuata.
Namba za mistari hufuata tafsiri uliyochagua, na katika sura chache zinaweza kutofautiana kwa mstari mmoja.