1Kama Bwana asingalikuwa upande wetu; Israeli na aseme sasa: 2kama Bwana asingalikuwa upande wetu, wakati watu walipotushambulia, 3wakati hasira yao ilipowaka dhidi yetu, wangalitumeza tungali hai, 4mafuriko yangalitugharikisha, maji mengi yangalitufunika, 5maji yaendayo kasi yangalituchukua. 6Bwana asifiwe, yeye ambaye hakuruhusu turaruliwe kwa meno yao. 7Tumeponyoka kama ndege kutoka mtego wa mwindaji; mtego umevunjika, nasi tukaokoka. 8Msaada wetu ni katika jina la Bwana, Muumba wa mbingu na dunia.
1If it had not been Yahweh who was on our side, let Israel now say, 2if it had not been Yahweh who was on our side, when men rose up against us; 3then they would have swallowed us up alive, when their wrath was kindled against us; 4then the waters would have overwhelmed us, the stream would have gone over our soul; 5then the proud waters would have gone over our soul. 6Blessed be Yahweh, who has not given us as a prey to their teeth. 7Our soul has escaped like a bird out of the fowler’s snare. The snare is broken, and we have escaped. 8Our help is in Yahweh’s name, who made heaven and earth.
1Een lied Hammaaloth, van David. Ten ware de HEERE, Die bij ons geweest is, zegge nu Israel, 2Ten ware de HEERE, Die bij ons geweest is, als de mensen tegen ons opstonden; 3Toen zouden zij ons levend verslonden hebben, als hun toorn tegen ons ontstak. 4Toen zouden ons de wateren overlopen hebben; een stroom zou over onze ziel gegaan zijn. 5Toen zouden de stoute wateren over onze ziel gegaan zijn. 6De HEERE zij geloofd, Die ons in hun tanden niet heeft overgegeven tot een roof. 7Onze ziel is ontkomen, als een vogel uit den strik der vogelvangers; de strik is gebroken, en wij zijn ontkomen. 8Onze hulp is in den Naam des HEEREN, Die hemel en aarde gemaakt heeft.
Bonyeza Enter ili kuuwekea mstari huu rangi, kuandika maelezo au kuunakili. Vitufe vya mishale vinakupeleka kwenye mstari unaofuata.
Namba za mistari hufuata tafsiri uliyochagua, na katika sura chache zinaweza kutofautiana kwa mstari mmoja.