1Ee Bwana, sikia na unijibu, kwa maana mimi ni maskini na mhitaji. 2Linda maisha yangu, kwa maana nimejiweka kwako, wewe ni Mungu wangu, mwokoe mtumishi wako anayekutumaini. 3Ee Bwana, nihurumie mimi, kwa maana ninakuita mchana kutwa. 4Mpe mtumishi wako furaha, kwa kuwa kwako wewe, Ee Bwana, ninainua nafsi yangu. 5Ee Bwana, wewe ni mwema na mwenye kusamehe, umejaa upendo kwa wote wakuitao. 6Ee Bwana, sikia maombi yangu, sikiliza kilio changu unihurumie. 7Katika siku ya shida yangu nitakuita, kwa maana wewe utanijibu. 8Ee Bwana, katikati ya miungu hakuna kama wewe, hakuna matendo ya kulinganishwa na yako. 9Ee Bwana, mataifa yote uliyoyafanya yatakuja na kuabudu mbele zako; wataliletea utukufu jina lako. 10Kwa maana wewe ni mkuu, na unafanya mambo ya ajabu; wewe peke yako ndiwe Mungu. 11Ee Bwana, nifundishe njia yako, nami nitakwenda katika kweli yako; nipe moyo usiositasita, ili niweze kulicha jina lako. 12Ee Bwana wangu, nitakusifu kwa moyo wote; nitaliadhimisha jina lako milele. 13Kwa maana upendo wako ni mkuu kwangu; umeniokoa kutoka kwenye vilindi vya kaburi. 14Ee Mungu, wenye majivuno wananishambulia; kundi la watu wakatili linatafuta uhai wangu: watu wasiokuheshimu wewe. 15Lakini wewe, Ee Bwana, ni Mungu wa huruma na neema, si mwepesi wa hasira, bali ni mwingi wa upendo na uaminifu. 16Nigeukie na unihurumie; mpe mtumishi wako nguvu zako, mwokoe mwana wa mtumishi wako wa kike. 17Nipe ishara ya wema wako, ili adui zangu waione nao waaibishwe, kwa kuwa wewe, Ee Bwana, umenisaidia na kunifariji.
1Hear, Yahweh, and answer me, for I am poor and needy. 2Preserve my soul, for I am godly. You, my God, save your servant who trusts in you. 3Be merciful to me, Lord, for I call to you all day long. 4Bring joy to the soul of your servant, for to you, Lord, do I lift up my soul. 5For you, Lord, are good, and ready to forgive; abundant in loving kindness to all those who call on you. 6Hear, Yahweh, my prayer. Listen to the voice of my petitions. 7In the day of my trouble I will call on you, for you will answer me. 8There is no one like you among the gods, Lord, nor any deeds like your deeds. 9All nations you have made will come and worship before you, Lord. They shall glorify your name. 10For you are great, and do wondrous things. You are God alone. 11Teach me your way, Yahweh. I will walk in your truth. Make my heart undivided to fear your name. 12I will praise you, Lord my God, with my whole heart. I will glorify your name forever more. 13For your loving kindness is great toward me. You have delivered my soul from the lowest Sheol. 14God, the proud have risen up against me. A company of violent men have sought after my soul, and they don’t hold regard for you before them. 15But you, Lord, are a merciful and gracious God, slow to anger, and abundant in loving kindness and truth. 16Turn to me, and have mercy on me! Give your strength to your servant. Save the son of your handmaid. 17Show me a sign of your goodness, that those who hate me may see it, and be shamed, because you, Yahweh, have helped me, and comforted me.
1Een gebed van David. HEERE! neig Uw oor, verhoor mij; want ik ben ellendig en nooddruftig. 2Bewaar mijn ziel, want ik ben Uw gunstgenoot, o Gij, mijn God! verlos Uw knecht die op U betrouwt. 3Zijt mij genadig, HEERE! want ik roep tot U den gansen dag. 4Verheug de ziel Uws knechts; want tot U, HEERE! verhef ik mijn ziel. 5Want Gij, HEERE! zijt goed, en gaarne vergevende, en van grote goedertierenheid allen, die U aanroepen. 6HEERE! neem mijn gebed ter ore, en merk op de stem mijner smekingen. 7In den dag mijner benauwdheid roep ik U aan, want Gij verhoort mij. 8Onder de goden is niemand U gelijk, Heere! en er zijn geen gelijk Uw werken. 9Al de heidenen, Heere! die Gij gemaakt hebt, zullen komen, en zullen zich voor Uw aanschijn nederbuigen, en Uw Naam eren. 10Want Gij zijt groot, en doet wonderwerken; Gij alleen zijt God. 11Leer mij, HEERE! Uw weg; ik zal in Uw waarheid wandelen; verenig mijn hart tot de vreze Uws Naams. 12Heere, mijn God! ik zal U met mijn ganse hart loven, en ik zal Uw Naam eren in eeuwigheid; 13Want Uw goedertierenheid is groot over mij; en Gij hebt mijn ziel uit het onderste des grafs uitgerukt. 14O God! de hovaardigen staan tegen mij op, en de vergaderingen der tirannen zoeken mijn ziel; en zij stellen U niet voor hun ogen. 15Maar Gij, Heere! zijt een barmhartig en genadig God, lankmoedig, en groot van goedertierenheid en waarheid. 16Wend U tot mij, en zijt mij genadig, geef Uw knecht Uw sterkte, en verlos den zoon Uwer dienstmaagd. 17Doe aan mij een teken ten goede, opdat het mijn haters zien, en beschaamd worden, als Gij, HEERE! mij geholpen, en mij getroost zult hebben.
Bonyeza Enter ili kuuwekea mstari huu rangi, kuandika maelezo au kuunakili. Vitufe vya mishale vinakupeleka kwenye mstari unaofuata.
Namba za mistari hufuata tafsiri uliyochagua, na katika sura chache zinaweza kutofautiana kwa mstari mmoja.