Ruka hadi kwenye maudhui
Beta

Uzi bado haujatafsiriwa kikamilifu kwa Kiswahili. Kile ambacho bado hakijatafsiriwa kinaonyeshwa kwa Kiingereza.

Zaburi 67

Sura hii ni sehemu ya: Boek II

1Mungu aturehemu na kutubariki, na kutuangazia nuru za uso wake, 2ili njia zako zijulikane duniani, wokovu wako katikati ya mataifa yote. 3Ee Mungu, mataifa na wakusifu, mataifa yote na wakusifu. 4Mataifa yote wafurahi na kuimba kwa shangwe, kwa kuwa unatawala watu kwa haki na kuongoza mataifa ya dunia. 5Ee Mungu, mataifa na wakusifu, mataifa yote na wakusifu. 6Ndipo nchi itatoa mazao yake, naye Mungu, Mungu wetu, atatubariki. 7Mungu atatubariki na miisho yote ya dunia itamcha yeye.

Namba za mistari hufuata tafsiri uliyochagua, na katika sura chache zinaweza kutofautiana kwa mstari mmoja.

Urahisi wa kusoma

Chagua kinachokusaidia. Chaguo lako linahifadhiwa kwenye kifaa hiki.

Ukubwa wa maandishi

Unapendelea mipangilio ya kifaa chako mwenyewe (kukuza, kisoma skrini, hali ya giza)? Inafanya kazi hapa pia.