Ruka hadi kwenye maudhui
Beta

Uzi bado haujatafsiriwa kikamilifu kwa Kiswahili. Kile ambacho bado hakijatafsiriwa kinaonyeshwa kwa Kiingereza.

Zaburi 150

Sura hii ni sehemu ya: Boek V

1Msifuni Bwana. Msifuni Mungu katika patakatifu pake, msifuni katika mbingu zake kuu. 2Msifuni kwa matendo yake makuu, msifuni kwa kadiri ya wingi wa ukuu wake. 3Msifuni kwa mvumo wa tarumbeta, msifuni kwa kinubi na zeze, 4msifuni kwa matari na kucheza, msifuni kwa kinanda cha nyuzi na filimbi, 5msifuni kwa matoazi yaliayo, msifuni kwa matoazi yavumayo sana. 6Kila chenye pumzi na kimsifu Bwana. Msifuni Bwana!

Namba za mistari hufuata tafsiri uliyochagua, na katika sura chache zinaweza kutofautiana kwa mstari mmoja.

Urahisi wa kusoma

Chagua kinachokusaidia. Chaguo lako linahifadhiwa kwenye kifaa hiki.

Ukubwa wa maandishi

Unapendelea mipangilio ya kifaa chako mwenyewe (kukuza, kisoma skrini, hali ya giza)? Inafanya kazi hapa pia.