1Ee Bwana, nimekukimbilia wewe, usiache nikaaibika kamwe. 2Kwa haki yako uniponye na kuniokoa, unitegee sikio lako uniokoe. 3Uwe kwangu mwamba wa kimbilio, mahali nitakapokimbilia kila wakati; toa amri ya kuniokoa, kwa kuwa wewe ni mwamba wangu na ngome yangu. 4Ee Mungu wangu uniokoe kutoka kwenye mkono wa mwovu, kutoka kwenye makucha ya watu wabaya na wakatili. 5Kwa kuwa umekuwa tumaini langu, Ee Bwana Mwenyezi, tegemeo langu tangu ujana wangu. 6Tangu kuzaliwa nimekutegemea wewe, ulinitoa tumboni mwa mama yangu. Nitakusifu wewe daima. 7Nimekuwa kama kioja kwa wengi, lakini wewe ni kimbilio langu imara. 8Kinywa changu kimejazwa sifa zako, nikitangaza utukufu wako mchana kutwa. 9Usinitupe wakati wa uzee, wala usiniache nguvu zangu zinapopungua. 10Kwa maana adui zangu wananisengenya, wale wanaonivizia kuniua wafanya hila. 11Wanasema, “Mungu amemwacha, mkimbilieni mkamkamate, kwani hakuna wa kumwokoa.” 12Ee Mungu, usiwe mbali nami, njoo haraka kunisaidia, Ee Mungu wangu. 13Washtaki wangu na waangamie kwa aibu, wale wanaotaka kunidhuru na wafunikwe kwa dharau na fedheha. 14Lakini mimi, nitatumaini siku zote, nitakusifu zaidi na zaidi. 15Kinywa changu kitasimulia haki yako, wokovu wako mchana kutwa, ingawa sifahamu kipimo chake. 16Ee Bwana Mwenyezi, nitakuja na kutangaza matendo yako makuu, nitatangaza haki yako, yako peke yako. 17Ee Mungu, umenifundisha tangu ujana wangu, hadi leo ninatangaza matendo yako ya ajabu. 18Ee Mungu, usiniache, hata niwapo mzee wa mvi, mpaka nitangaze uwezo wako kwa kizazi kijacho, nguvu zako kwa wote watakaokuja baadaye. 19Ee Mungu, haki yako imefika juu katika mbingu, wewe ambaye umefanya mambo makuu. Ee Mungu, ni nani aliye kama wewe? 20Ingawa umenifanya nipate taabu, nyingi na chungu, utanihuisha tena, kutoka vilindi vya dunia utaniinua tena. 21Utaongeza heshima yangu na kunifariji tena. 22Ee Mungu wangu, nitakusifu kwa kinubi kwa ajili ya uaminifu wako; Ee Uliye Mtakatifu wa Israeli, nitakuimbia sifa kwa zeze. 23Midomo yangu itapaza sauti kwa furaha ninapokuimbia sifa, mimi, ambaye umenikomboa. 24Ulimi wangu utasimulia matendo yako ya haki mchana kutwa, kwa maana wale waliotaka kunidhuru, wameaibishwa na kufadhaishwa.
1In you, Yahweh, I take refuge. Never let me be disappointed. 2Deliver me in your righteousness, and rescue me. Turn your ear to me, and save me. 3Be to me a rock of refuge to which I may always go. Give the command to save me, for you are my rock and my fortress. 4Rescue me, my God, from the hand of the wicked, from the hand of the unrighteous and cruel man. 5For you are my hope, Lord Yahweh; my confidence from my youth. 6I have relied on you from the womb. You are he who took me out of my mother’s womb. I will always praise you. 7I am a marvel to many, but you are my strong refuge. 8My mouth shall be filled with your praise, with your honor all the day. 9Don’t reject me in my old age. Don’t forsake me when my strength fails. 10For my enemies talk about me. Those who watch for my soul conspire together, 11saying, “God has forsaken him. Pursue and take him, for no one will rescue him.” 12God, don’t be far from me. My God, hurry to help me. 13Let my accusers be disappointed and consumed. Let them be covered with disgrace and scorn who want to harm me. 14But I will always hope, and will add to all of your praise. 15My mouth will tell about your righteousness, and of your salvation all day, though I don’t know its full measure. 16I will come with the mighty acts of the Lord Yahweh. I will make mention of your righteousness, even of yours alone. 17God, you have taught me from my youth. Until now, I have declared your wondrous works. 18Yes, even when I am old and gray-haired, God, don’t forsake me, until I have declared your strength to the next generation, your might to everyone who is to come. 19Your righteousness also, God, reaches to the heavens; you have done great things. God, who is like you? 20You, who have shown us many and bitter troubles, you will let me live. You will bring us up again from the depths of the earth. 21Increase my honor, and comfort me again. 22I will also praise you with the harp for your faithfulness, my God. I sing praises to you with the lyre, Holy One of Israel. 23My lips shall shout for joy! My soul, which you have redeemed, sings praises to you! 24My tongue will also talk about your righteousness all day long, for they are disappointed, and they are confounded, who want to harm me.
1Op U, o HEERE! betrouw ik; laat mij niet beschaamd worden in eeuwigheid. 2Red mij door Uw gerechtigheid, en bevrijd mij; neig Uw oor tot mij, en verlos mij. 3Wees mij tot een Rotssteen, om daarin te wonen, om geduriglijk daarin te gaan; Gij hebt bevel gegeven, om mij te verlossen, want Gij zijt mijn Steenrots en mijn Burg. 4Mijn God, bevrijd mij van de hand des goddelozen, van de hand desgenen, die verkeerdelijk handelt, en des opgeblazenen. 5Want Gij zijt mijn Verwachting, Heere, HEERE! mijn Vertrouwen van mijn jeugd aan. 6Op U heb ik gesteund van den buik aan; van mijner moeders ingewand aan zijt Gij mijn Uithelper; mijn lof is geduriglijk van U. 7Ik ben velen als een wonder geweest; doch Gij zijt mijn sterke Toevlucht. 8Laat mijn mond vervuld worden met Uw lof, den gansen dag met Uw heerlijkheid. 9Verwerp mij niet in den tijd des ouderdoms; verlaat mij niet, terwijl mijn kracht vergaat. 10Want mijn vijanden spreken van mij, en die op mijn ziel loeren, beraadslagen te zamen, 11Zeggende: God heeft hem verlaten; jaagt na, en grijpt hem, want er is geen verlosser. 12O God, wees niet verre van mij; mijn God! haast U tot mijn hulp. 13Laat hen beschaamd worden, laat hen verteerd worden, die mijn ziel tegen zijn; laat hen met smaad en schande overdekt worden, die mijn kwaad zoeken. 14Doch ik zal geduriglijk hopen, en zal al Uw lof nog groter maken. 15Mijn mond zal Uw gerechtigheid vertellen, den gansen dag Uw heil; hoewel ik de getallen niet weet. 16Ik zal heengaan in de mogendheden des Heeren HEEREN; ik zal Uw gerechtigheid vermelden, de Uwe alleen. 17O God! Gij hebt mij geleerd van mijn jeugd aan, en tot nog toe verkondig ik Uw wonderen. 18Daarom ook, terwijl de ouderdom en grijsheid daar is, verlaat mij niet, o God, totdat ik dezen geslachte verkondige Uw arm, allen nakomelingen Uw macht. 19Ook is Uw gerechtigheid, o God, tot in de hoogte; Gij, Die grote dingen gedaan hebt; o God! wie is U gelijk? 20Gij, Die mij veel benauwdheden en kwaden hebt doen zien, zult mij weder levend maken, en zult mij weder ophalen uit de afgronden der aarde. 21Gij zult mijn grootheid vermeerderen, en mij rondom vertroosten. 22Ook zal ik U loven met het instrument der luit, Uw trouw, mijn God; ik zal U psalmzingen met de harp, o Heilige Israels! 23Mijn lippen zullen juichen, wanneer ik U zal psalmzingen, en mijn ziel, die Gij verlost hebt. 24Ook zal mijn tong Uw gerechtigheid den gansen dag uitspreken, want zij zijn beschaamd, want zij zijn schaamrood geworden, die mijn kwaad zoeken.
Bonyeza Enter ili kuuwekea mstari huu rangi, kuandika maelezo au kuunakili. Vitufe vya mishale vinakupeleka kwenye mstari unaofuata.
Namba za mistari hufuata tafsiri uliyochagua, na katika sura chache zinaweza kutofautiana kwa mstari mmoja.