1Mungu kwetu sisi ni kimbilio na nguvu, msaada utakaoonekana tele wakati wa mateso. 2Kwa hiyo hatutaogopa, hata kama dunia ikiondolewa nayo milima ikiangukia moyoni mwa bahari. 3Hata kama maji yake yatanguruma na kuumuka, milima nayo ikitetemeka kwa mawimbi yake. 4Kuna mto ambao vijito vyake vinaufurahisha mji wa Mungu, mahali patakatifu ambako Aliye Juu Sana anaishi. 5Mungu yuko katikati yake, hautaanguka, Mungu atausaidia asubuhi na mapema. 6Mataifa yanafanya ghasia, falme zinaanguka, Yeye huinua sauti yake, dunia ikayeyuka. 7Bwana Mwenye Nguvu Zote yu pamoja nasi, Mungu wa Yakobo ni ngome yetu. 8Njooni mkaone kazi za Bwana jinsi alivyofanya ukiwa katika nchi. 9Anakomesha vita hata miisho ya dunia, anakata upinde na kuvunjavunja mkuki, anateketeza ngao kwa moto. 10“Tulieni, mjue ya kwamba mimi ndimi Mungu; nitatukuzwa katikati ya mataifa, nitatukuzwa katika dunia.” 11Bwana Mwenye Nguvu Zote yu pamoja nasi; Mungu wa Yakobo ni ngome yetu.
1God is our refuge and strength, a very present help in trouble. 2Therefore we won’t be afraid, though the earth changes, though the mountains are shaken into the heart of the seas; 3though its waters roar and are troubled, though the mountains tremble with their swelling. Selah. 4There is a river, the streams of which make the city of God glad, the holy place of the tents of the Most High. 5God is in her midst. She shall not be moved. God will help her at dawn. 6The nations raged. The kingdoms were moved. He lifted his voice, and the earth melted. 7Yahweh of Armies is with us. The God of Jacob is our refuge. Selah. 8Come, see Yahweh’s works, what desolations he has made in the earth. 9He makes wars cease to the end of the earth. He breaks the bow, and shatters the spear. He burns the chariots in the fire. 10“Be still, and know that I am God. I will be exalted among the nations. I will be exalted in the earth.” 11Yahweh of Armies is with us. The God of Jacob is our refuge. Selah.
1Een lied op Alamoth, voor den opperzangmeester, onder de kinderen van Korach. God is ons een Toevlucht en Sterkte; Hij is krachtelijk bevonden een Hulp in benauwdheden. 2Daarom zullen wij niet vrezen, al veranderde de aarde haar plaats, en al werden de bergen verzet in het hart der zeeen; 3Laat haar wateren bruisen, laat ze beroerd worden; laat de bergen daveren, door derzelver verheffing! Sela. 4De beekjes der rivier zullen verblijden de stad Gods, het heiligdom der woningen des Allerhoogsten. 5God is in het midden van haar, zij zal niet wankelen; God zal haar helpen in het aanbreken van den morgenstond. 6De heidenen raasden, de koninkrijken bewogen zich; Hij verhief Zijn stem, de aarde versmolt. 7De HEERE der heirscharen is met ons; de God van Jakob is ons een Hoog Vertrek. Sela. 8Komt, aanschouwt de daden des HEEREN, Die verwoestingen op aarde aanricht. 9Die de oorlogen doet ophouden tot aan het einde der aarde, de boog verbreekt, en de spies aan twee slaat, de wagenen met vuur verbrandt. 10Laat af, en weet, dat Ik God ben; Ik zal verhoogd worden onder de heidenen, Ik zal verhoogd worden op de aarde. 11De HEERE der heirscharen is met ons; de God van Jakob is ons een Hoog Vertrek. Sela.
Bonyeza Enter ili kuuwekea mstari huu rangi, kuandika maelezo au kuunakili. Vitufe vya mishale vinakupeleka kwenye mstari unaofuata.
Namba za mistari hufuata tafsiri uliyochagua, na katika sura chache zinaweza kutofautiana kwa mstari mmoja.
Statenvertaling (1637) · World English Bible (2000) · Neno: Bibilia Takatifu (2015): Biblica® Toleo Wazi Neno: Bibilia Takatifu™ © 1984, 1989, 2009, 2015 Biblica, Inc., biblica.com, via eBible.org. CC BY-SA 4.0; notes and headings omitted. · Vyanzo na leseni