1Mtu ajitengaye na wengine hufuata matakwa yake mwenyewe; hupiga vita kila shauri jema. 2Mpumbavu hafurahii ufahamu, bali hufurahia kutangaza maoni yake mwenyewe. 3Wakati uovu unapokuja, dharau huja pia, pamoja na aibu huja lawama. 4Maneno ya kinywa cha mwanadamu ni kina cha maji, bali chemchemi ya hekima ni kijito kinachobubujika. 5Sio vizuri kumpendelea mtu mwovu, au kumnyima haki asiye na hatia. 6Midomo ya mpumbavu humletea ugomvi na kinywa chake hualika kipigo. 7Kinywa cha mpumbavu ni uharibifu wake na midomo yake ni mtego kwa nafsi yake. 8Maneno ya mchongezi ni kama chakula kitamu; huingia sehemu za ndani sana za mtu. 9Mtu aliye mlegevu katika kazi yake ni ndugu na yule anayeharibu. 10Jina la Bwana ni ngome imara, wenye haki huikimbilia na kuwa salama. 11Mali ya tajiri ni mji wake wenye ngome, wanaudhania kuwa ukuta usioweza kurukwa. 12Kabla ya anguko moyo wa mtu hujaa kiburi, bali unyenyekevu hutangulia heshima. 13Yeye ajibuye kabla ya kusikiliza, huo ni upumbavu wake na aibu yake. 14Roho ya mtu itastahimili katika ugonjwa bali roho iliyovunjika ni nani awezaye kuistahimili? 15Moyo wa mwenye ufahamu hujipatia maarifa, masikio ya mwenye hekima huyatafuta maarifa. 16Zawadi humfungulia njia mtoaji, nayo humleta mbele ya wakuu. 17Yeye aliye wa kwanza kuleta mashtaka huonekana sahihi, hadi mwingine ajitokezapo na kumuuliza maswali. 18Kupiga kura hukomesha mashindano na kutenganisha wapinzani wakuu wanaopingana. 19Ndugu aliyechukizwa ni mgumu kuridhika kuliko mji uliozungushiwa ngome, nayo mabishano ni kama malango ya ngome yenye makomeo. 20Tumbo la mtu litajaa kutokana na tunda la kinywa chake, atashibishwa mavuno yanayotokana na midomo yake. 21Mauti na uzima viko katika uwezo wa ulimi, nao waupendao watakula matunda yake. 22Apataye mke apata kitu chema naye ajipatia kibali kwa Bwana. 23Mtu maskini huomba kuhurumiwa bali tajiri hujibu kwa ukali. 24Mtu mwenye marafiki wengi wanaweza kumharibu, bali yuko rafiki aambatanaye na mtu kwa karibu kuliko ndugu.
1An unfriendly man pursues selfishness, and defies all sound judgment. 2A fool has no delight in understanding, but only in revealing his own opinion. 3When wickedness comes, contempt also comes, and with shame comes disgrace. 4The words of a man’s mouth are like deep waters. The fountain of wisdom is like a flowing brook. 5To be partial to the faces of the wicked is not good, nor to deprive the innocent of justice. 6A fool’s lips come into strife, and his mouth invites beatings. 7A fool’s mouth is his destruction, and his lips are a snare to his soul. 8The words of a gossip are like dainty morsels: they go down into a person’s innermost parts. 9One who is slack in his work is brother to him who is a master of destruction. 10Yahweh’s name is a strong tower: the righteous run to him, and are safe. 11The rich man’s wealth is his strong city, like an unscalable wall in his own imagination. 12Before destruction the heart of man is proud, but before honor is humility. 13He who gives answer before he hears, that is folly and shame to him. 14A man’s spirit will sustain him in sickness, but a crushed spirit, who can bear? 15The heart of the discerning gets knowledge. The ear of the wise seeks knowledge. 16A man’s gift makes room for him, and brings him before great men. 17He who pleads his cause first seems right; until another comes and questions him. 18The lot settles disputes, and keeps strong ones apart. 19A brother offended is more difficult than a fortified city; and disputes are like the bars of a castle. 20A man’s stomach is filled with the fruit of his mouth. With the harvest of his lips he is satisfied. 21Death and life are in the power of the tongue; those who love it will eat its fruit. 22Whoever finds a wife finds a good thing, and obtains favor of Yahweh. 23The poor plead for mercy, but the rich answer harshly. 24A man of many companions may be ruined, but there is a friend who sticks closer than a brother.
1Die zich afzondert, tracht naar wat begeerlijks; hij vermengt zich in alle bestendige wijsheid. 2De zot heeft geen lust aan verstandigheid, maar daarin, dat zijn hart zich ontdekt. 3Als de goddeloze komt, komt ook de verachting en met schande versmaadheid. 4De woorden van den mond eens mans zijn diepe wateren; en de springader der wijsheid is een uitstortende beek. 5Het is niet goed, het aangezicht des goddelozen aan te nemen, om den rechtvaardige in het gericht te buigen. 6De lippen des zots komen in twist, en zijn mond roept naar slagen. 7De mond des zots is hemzelven een verstoring, en zijn lippen een strik zijner ziel. 8De woorden des oorblazers zijn als dergenen, die geslagen zijn, en die dalen in het binnenste des buiks. 9Ook die zich slap aanstelt in zijn werk, die is een broeder van een doorbrenger. 10De Naam des HEEREN is een Sterke Toren; de rechtvaardige zal daarhenen lopen, en in een Hoog Vertrek gesteld worden. 11Des rijken goed is de stad zijner sterkte, en als een verheven muur in zijn inbeelding. 12Voor de verbreking zal des mensen hart zich verheffen; en de nederigheid gaat voor de eer. 13Die antwoord geeft, eer hij zal gehoord hebben, dat is hem dwaasheid en schande. 14De geest eens mans zal zijn krankheid ondersteunen; maar een verslagen geest, wie zal dien opheffen? 15Het hart der verstandigen bekomt wetenschap, en het oor der wijzen zoekt wetenschap. 16De gift des mensen maakt hem ruimte, en zij geleidt hem voor het aangezicht der groten. 17Die de eerste is in zijn twistzaak, schijnt rechtvaardig te zijn; maar zijn naaste komt, en hij onderzoekt hem. 18Het lot doet de geschillen ophouden, en maakt scheiding tussen machtigen. 19Een broeder is wederspanniger dan een sterke stad; en de geschillen zijn als een grendel van een paleis. 20Van de vrucht van ieders mond zal zijn buik verzadigd worden; hij zal verzadigd worden van de inkomst zijner lippen. 21Dood en leven zijn in het geweld der tong; en een ieder, die ze liefheeft, zal haar vrucht eten. 22Die een vrouw gevonden heeft, heeft een goede zaak gevonden, en hij heeft welgevallen getrokken van den HEERE. 23De arme spreekt smekingen; maar de rijke antwoordt harde dingen. 24Een man, die vrienden heeft, heeft zich vriendelijk te houden; want er is een liefhebber, die meer aankleeft dan een broeder.
Bonyeza Enter ili kuuwekea mstari huu rangi, kuandika maelezo au kuunakili. Vitufe vya mishale vinakupeleka kwenye mstari unaofuata.
Namba za mistari hufuata tafsiri uliyochagua, na katika sura chache zinaweza kutofautiana kwa mstari mmoja.