1“Kwa hili moyo wangu unatetemeka, nao unaruka kutoka mahali pake. 2Sikiliza! Sikiliza ngurumo ya sauti yake, sauti ya ngurumo itokayo kinywani mwake. 3Huuachilia umeme wake wa radi chini ya mbingu yote na kuupeleka hata miisho ya dunia. 4Baada ya hayo huja sauti ya ngurumo yake; Mungu hunguruma kwa sauti yake ya fahari. Wakati sauti yake ingurumapo tena, huuachilia umeme wake wa radi. 5Sauti ya Mungu hunguruma kwa namna za ajabu; yeye hutenda mambo makuu kupita ufahamu wetu. 6Huiambia theluji, ‘Anguka juu ya dunia,’ nayo manyunyu ya mvua, ‘Uwe mvua ya nguvu.’ 7Ili wanadamu wote aliowaumba wapate kujua kazi zake, yeye humzuilia kila mtu shughuli zake. 8Wanyama hujificha; hubakia kwenye mapango yao. 9Dhoruba hutoka katika chumba chake, baridi hutoka katika upepo uendao kasi. 10Pumzi ya Mungu hutoa barafu, eneo kubwa la maji huganda. 11Huyasheheneza mawingu kwa maji, naye husambaza umeme wake wa radi kupitia hayo. 12Nayo mawingu huzungukazunguka pande zote kwa amri yake, juu ya uso wa dunia yote, kufanya lolote ayaamuruyo. 13Huleta mawingu ili kuadhibu wanadamu, au kuinyeshea dunia yake na kuonyesha upendo wake. 14“Ayubu, sikiliza hili; nyamaza na uyafikiri maajabu ya Mungu. 15Je, unajua jinsi Mungu anavyoyaongoza mawingu, na kufanya umeme wake wa radi utoe mwanga? 16Je, wajua jinsi mawingu yanavyokaa yakiwa yametulia, hayo maajabu yake yeye aliye mkamilifu katika maarifa? 17Wewe unayeshindwa na joto katika nguo zako wakati nchi imenyamazishwa kimya bila upepo wa kusini, 18je, waweza kuungana naye katika kuzitandaza anga, zilizo ngumu kama kioo cha shaba ya kuyeyushwa? 19“Tuambieni yatupasayo kumwambia; hatuwezi kutayarisha shauri letu kwa sababu ya ujinga wetu. 20Je, aambiwe kwamba nataka kuongea? Je, yuko mtu ambaye angeomba kumezwa? 21Basi hakuna awezaye kulitazama jua, jinsi linavyongʼaa angani, upepo ukishafagia mawingu. 22Kutoka kaskazini yeye huja na fahari kuu; Mungu huja katika utukufu wa kutisha. 23Yeye Mwenyezi hatuwezi kumfikia, naye ametukuzwa katika uweza; katika hukumu zake na haki yake kuu, hataonea. 24Kwa hiyo, wanadamu mheshimuni, kwa kuwa yeye hamstahi yeyote anayejidhania kuwa ana hekima.”
1“Yes, at this my heart trembles, and is moved out of its place. 2Hear, oh, hear the noise of his voice, the sound that goes out of his mouth. 3He sends it out under the whole sky, and his lightning to the ends of the earth. 4After it a voice roars. He thunders with the voice of his majesty. He doesn’t hold back anything when his voice is heard. 5God thunders marvelously with his voice. He does great things, which we can’t comprehend. 6For he says to the snow, ‘Fall on the earth;’ likewise to the shower of rain, and to the showers of his mighty rain. 7He seals up the hand of every man, that all men whom he has made may know it. 8Then the animals take cover, and remain in their dens. 9Out of its room comes the storm, and cold out of the north. 10By the breath of God, ice is given, and the breadth of the waters is frozen. 11Yes, he loads the thick cloud with moisture. He spreads abroad the cloud of his lightning. 12It is turned around by his guidance, that they may do whatever he commands them on the surface of the habitable world, 13Whether it is for correction, or for his land, or for loving kindness, that he causes it to come. 14“Listen to this, Job. Stand still, and consider the wondrous works of God. 15Do you know how God controls them, and causes the lightning of his cloud to shine? 16Do you know the workings of the clouds, the wondrous works of him who is perfect in knowledge? 17You whose clothing is warm, when the earth is still by reason of the south wind? 18Can you, with him, spread out the sky, which is strong as a cast metal mirror? 19Teach us what we shall tell him, for we can’t make our case by reason of darkness. 20Shall it be told him that I would speak? Or should a man wish that he were swallowed up? 21Now men don’t see the light which is bright in the skies, but the wind passes, and clears them. 22Out of the north comes golden splendor. With God is awesome majesty. 23We can’t reach the Almighty. He is exalted in power. In justice and great righteousness, he will not oppress. 24Therefore men revere him. He doesn’t regard any who are wise of heart.”
1Ook beeft hierover mijn hart, en springt op uit zijn plaats. 2Hoort met aandacht de beweging Zijner stem, en het geluid, dat uit Zijn mond uitgaat! 3Dat zendt Hij rechtuit onder den gansen hemel, en Zijn licht over de einden der aarde. 4Daarna brult Hij met de stem; Hij dondert met de stem Zijner hoogheid, en vertrekt die dingen niet, als Zijn stem zal gehoord worden. 5God dondert met Zijn stem zeer wonderlijk; Hij doet grote dingen, en wij begrijpen ze niet. 6Want Hij zegt tot de sneeuw: Wees op de aarde; en tot den plasregens des regens; dan is er de plasregen Zijner sterke regenen. 7Dan zegelt Hij de hand van ieder mens toe, opdat Hij kenne al de lieden Zijns werks. 8En het gedierte gaat in de loerplaatsen, en blijft in zijn holen. 9Uit de binnenkamer komt de wervelwind, en van de verstrooiende winden de koude. 10Door zijn geblaas geeft God de vorst, zodat de brede wateren verstijfd worden. 11Ook vermoeit Hij de dikke wolken door klaarheid; Hij verstrooit de wolk Zijns lichts. 12Die keert zich dan naar Zijn wijzen raad door ommegangen, dat zij doen al wat Hij ze gebiedt, op het vlakke der wereld, op de aarde. 13Hetzij dat Hij die tot een roede, of tot Zijn land, of tot weldadigheid beschikt. 14Neem dit, o Job, ter ore; sta, en aanmerk de wonderen Gods. 15Weet gij, wanneer God over dezelve orde stelt, en het licht Zijner wolk laat schijnen? 16Hebt gij wetenschap van de opwegingen der dikke wolken; de wonderheden Desgenen, Die volmaakt is in wetenschappen? 17Hoe uw klederen warm worden, als Hij de aarde stil maakt uit het zuiden? 18Hebt gij met Hem de hemelen uitgespannen, die vast zijn, als een gegoten spiegel? 19Onderricht ons, wat wij Hem zeggen zullen; want wij zullen niets ordentelijk voorstellen kunnen vanwege de duisternis. 20Zal het Hem verteld worden, als ik zo zou spreken? Denkt iemand dat, gewisselijk, hij zal verslonden worden. 21En nu ziet men het licht niet als het helder is in den hemel, als de wind doorgaat, en dien zuivert; 22Als van het noorden het goud komt; maar bij God is een vreselijke majesteit! 23Den Almachtige, Dien kunnen wij niet uitvinden; Hij is groot van kracht; doch door gericht en grote gerechtigheid verdrukt Hij niet. 24Daarom vreze Hem de lieden; Hij ziet geen wijzen van harte aan.
Bonyeza Enter ili kuuwekea mstari huu rangi, kuandika maelezo au kuunakili. Vitufe vya mishale vinakupeleka kwenye mstari unaofuata.
Namba za mistari hufuata tafsiri uliyochagua, na katika sura chache zinaweza kutofautiana kwa mstari mmoja.