Ruka hadi kwenye maudhui
Beta

Uzi bado haujatafsiriwa kikamilifu kwa Kiswahili. Kile ambacho bado hakijatafsiriwa kinaonyeshwa kwa Kiingereza.

Ayubu 25

Sura hii ni sehemu ya: Gesprekken met de vrienden

1Ndipo Bildadi Mshuhi akajibu: 2“Mamlaka na kuheshimiwa ni vyake Mungu; yeye huthibitisha amani katika mbingu juu. 3Je, majeshi yake yaweza kuhesabika? Ni nani asiyeangaziwa na nuru yake? 4Mtu awezaje kuwa mwadilifu mbele za Mungu? Awezaje mtu aliyezaliwa na mwanamke kuwa safi? 5Ikiwa hata mwezi sio mwangavu nazo nyota si safi machoni pake, 6sembuse mtu ambaye ni funza: mwanadamu ambaye ni buu tu!”

Namba za mistari hufuata tafsiri uliyochagua, na katika sura chache zinaweza kutofautiana kwa mstari mmoja.

Urahisi wa kusoma

Chagua kinachokusaidia. Chaguo lako linahifadhiwa kwenye kifaa hiki.

Ukubwa wa maandishi

Unapendelea mipangilio ya kifaa chako mwenyewe (kukuza, kisoma skrini, hali ya giza)? Inafanya kazi hapa pia.