1Basi hawa ndio watu wa jimbo waliotoka uhamishoni, ambao Nebukadneza mfalme wa Babeli alikuwa amewachukua mateka hadi Babeli (walirudi Yerusalemu na Yuda, kila mmoja kwenye mji wake, 2wakiwa wamefuatana na Zerubabeli, Yeshua, Nehemia, Seraya, Reelaya, Mordekai, Bilshani, Mispari, Bigwai, Rehumu na Baana): Orodha ya wanaume kati ya watu wa Israeli ilikuwa: 3wazao wa Paroshi 2,172 4wazao wa Shefatia 372 5wazao wa Ara 775 6wazao wa Pahath-Moabu (wa jamaa ya Yeshua na Yoabu) 2,812 7wazao wa Elamu 1,254 8wazao wa Zatu 945 9wazao wa Zakai 760 10wazao wa Bani 642 11wazao wa Bebai 623 12wazao wa Azgadi 1,222 13wazao wa Adonikamu 666 14wazao wa Bigwai 2,056 15wazao wa Adini 454 16wazao wa Ateri (kupitia Hezekia) 98 17wazao wa Besai 323 18wazao wa Yora 112 19wazao wa Hashumu 223 20wazao wa Gibari 95 21watu wa Bethlehemu 123 22watu wa Netofa 56 23watu wa Anathothi 128 24watu wa Azmawethi 42 25wazao wa Kiriath-Yearimu, Kefira na Beerothi 743 26wazao wa Rama na Geba 621 27watu wa Mikmashi 122 28watu wa Betheli na Ai 223 29wazao wa Nebo 52 30wazao wa Magbishi 156 31wazao wa Elamu ile ingine 1,254 32wazao wa Harimu 320 33wazao wa Lodi, Hadidi na Ono 725 34wazao wa Yeriko 345 35wazao wa Senaa 3,630 36Makuhani: wazao wa Yedaya (kwa jamaa ya Yeshua) 973 37wazao wa Imeri 1,052 38wazao wa Pashuri 1,247 39wazao wa Harimu 1,017 40Walawi: wazao wa Yeshua na Kadmieli (kupitia jamaa ya Hodavia) 74 41Waimbaji: wazao wa Asafu 128 42Mabawabu wa lango la Hekalu: wazao wa // Shalumu, Ateri, Talmoni, // Akubu, Hatita na Shobai 139 43Watumishi wa Hekalu: wazao wa Siha, Hasufa, Tabaothi, 44wazao wa Kerosi, Siaha, Padoni, 45wazao wa Lebana, Hagaba, Akubu, 46wazao wa Hagabu, Shalmai, Hanani, 47wazao wa Gideli, Gahari, Reaya, 48wazao wa Resini, Nekoda, Gazamu, 49wazao wa Uza, Pasea, Besai, 50wazao wa Asna, Meunimu, Nefusimu, 51wazao wa Bakbuki, Hakufa, Harhuri, 52wazao wa Basluthi, Mehida, Harsha, 53wazao wa Barkosi, Sisera, Tema, 54wazao wa Nesia na Hatifa. 55Wazao wa watumishi wa Solomoni: wazao wa Sotai, Hasaferethi, Peruda, 56wazao wa Yaala, Darkoni, Gideli, 57wazao wa Shefatia, Hatili, Pokereth-Hasebaimu na Ami. 58Watumishi wa Hekalu wote na // wazao wa watumishi // wa Solomoni 392 59Wafuatao walikuja kutoka miji ya Tel-Mela, Tel-Harsha, Kerubu, Adoni na Imeri, lakini hawakuweza kuthibitisha kwamba jamaa zao zilikuwa uzao wa Israeli: 60wazao wa // Delaya, Tobia na Nekoda 652 61Kutoka miongoni mwa makuhani: Wazao wa Hobaya, Hakosi, Barzilai (mtu aliyekuwa amemwoa binti wa Barzilai, Mgileadi, naye akaitwa kwa jina hilo). 62Hawa walitafuta orodha za jamaa zao, lakini hawakuonekana humo, kwa hiyo waliondolewa kutoka kundi la makuhani kwa kuwa walihesabiwa kuwa najisi. 63Mtawala aliagiza kuwa wasile chochote miongoni mwa vyakula vitakatifu hadi kuwe kuhani atakayehudumu kwa Urimu na Thumimu. 64Jumla ya watu wote waliorudi walikuwa 42,360; 65tena zaidi ya hao walikuwepo watumishi wa kiume na wa kike 7,337; pia walikuwamo waimbaji wanaume na wanawake 200. 66Walikuwa na farasi 736, nyumbu 245, 67ngamia 435 na punda 6,720. 68Walipofika kwenye nyumba ya Bwana huko Yerusalemu, baadhi ya viongozi wa jamaa walitoa sadaka za hiari kwa ajili ya kujenga upya nyumba ya Mungu katika eneo lake. 69Wakatoa kwa kadiri ya uwezo wao na kutia katika hazina darkoni 61,000 za dhahabu, mane 5,000 za fedha, na mavazi 100 ya ukuhani kwa ajili ya kazi hiyo. 70Makuhani, Walawi, waimbaji, mabawabu, na watumishi wa Hekalu waliishi katika miji yao wenyewe, pamoja na baadhi ya watu wengine, nao Waisraeli waliosalia waliishi katika miji yao.
1Now these are the children of the province, who went up out of the captivity of those who had been carried away, whom Nebuchadnezzar the king of Babylon had carried away to Babylon, and who returned to Jerusalem and Judah, everyone to his city; 2who came with Zerubbabel, Jeshua, Nehemiah, Seraiah, Reelaiah, Mordecai, Bilshan, Mispar, Bigvai, Rehum, Baanah. The number of the men of the people of Israel: 3The children of Parosh, two thousand one hundred seventy-two. 4The children of Shephatiah, three hundred seventy-two. 5The children of Arah, seven hundred seventy-five. 6The children of Pahathmoab, of the children of Jeshua and Joab, two thousand eight hundred twelve. 7The children of Elam, one thousand two hundred fifty-four. 8The children of Zattu, nine hundred forty-five. 9The children of Zaccai, seven hundred sixty. 10The children of Bani, six hundred forty-two. 11The children of Bebai, six hundred twenty-three. 12The children of Azgad, one thousand two hundred twenty-two. 13The children of Adonikam, six hundred sixty-six. 14The children of Bigvai, two thousand fifty-six. 15The children of Adin, four hundred fifty-four. 16The children of Ater, of Hezekiah, ninety-eight. 17The children of Bezai, three hundred twenty-three. 18The children of Jorah, one hundred twelve. 19The children of Hashum, two hundred twenty-three. 20The children of Gibbar, ninety-five. 21The children of Bethlehem, one hundred twenty-three. 22The men of Netophah, fifty-six. 23The men of Anathoth, one hundred twenty-eight. 24The children of Azmaveth, forty-two. 25The children of Kiriath Arim, Chephirah, and Beeroth, seven hundred forty-three. 26The children of Ramah and Geba, six hundred twenty-one. 27The men of Michmas, one hundred twenty-two. 28The men of Bethel and Ai, two hundred twenty-three. 29The children of Nebo, fifty-two. 30The children of Magbish, one hundred fifty-six. 31The children of the other Elam, one thousand two hundred fifty-four. 32The children of Harim, three hundred twenty. 33The children of Lod, Hadid, and Ono, seven hundred twenty-five. 34The children of Jericho, three hundred forty-five. 35The children of Senaah, three thousand six hundred thirty. 36The priests: the children of Jedaiah, of the house of Jeshua, nine hundred seventy-three. 37The children of Immer, one thousand fifty-two. 38The children of Pashhur, one thousand two hundred forty-seven. 39The children of Harim, one thousand seventeen. 40The Levites: the children of Jeshua and Kadmiel, of the children of Hodaviah, seventy-four. 41The singers: the children of Asaph, one hundred twenty-eight. 42The children of the porters: the children of Shallum, the children of Ater, the children of Talmon, the children of Akkub, the children of Hatita, the children of Shobai, in all one hundred thirty-nine. 43The Nethinim: the children of Ziha, the children of Hasupha, the children of Tabbaoth, 44the children of Keros, the children of Siaha, the children of Padon, 45the children of Lebanah, the children of Hagabah, the children of Akkub, 46the children of Hagab, the children of Shamlai, the children of Hanan, 47the children of Giddel, the children of Gahar, the children of Reaiah, 48the children of Rezin, the children of Nekoda, the children of Gazzam, 49the children of Uzza, the children of Paseah, the children of Besai, 50the children of Asnah, the children of Meunim, the children of Nephisim, 51the children of Bakbuk, the children of Hakupha, the children of Harhur, 52the children of Bazluth, the children of Mehida, the children of Harsha, 53the children of Barkos, the children of Sisera, the children of Temah, 54the children of Neziah, the children of Hatipha. 55The children of Solomon’s servants: the children of Sotai, the children of Hassophereth, the children of Peruda, 56the children of Jaalah, the children of Darkon, the children of Giddel, 57the children of Shephatiah, the children of Hattil, the children of Pochereth Hazzebaim, the children of Ami. 58All the Nethinim, and the children of Solomon’s servants, were three hundred ninety-two. 59These were those who went up from Tel Melah, Tel Harsha, Cherub, Addan, and Immer; but they could not show their fathers’ houses, and their seed, whether they were of Israel: 60the children of Delaiah, the children of Tobiah, the children of Nekoda, six hundred fifty-two. 61Of the children of the priests: the children of Habaiah, the children of Hakkoz, the children of Barzillai, who took a wife of the daughters of Barzillai the Gileadite, and was called after their name. 62These sought their place among those who were registered by genealogy, but they were not found: therefore were they deemed polluted and put from the priesthood. 63The governor said to them, that they should not eat of the most holy things, until there stood up a priest with Urim and with Thummim. 64The whole assembly together was forty-two thousand three hundred sixty, 65besides their male servants and their female servants, of whom there were seven thousand three hundred thirty-seven: and they had two hundred singing men and singing women. 66Their horses were seven hundred thirty-six; their mules, two hundred forty-five; 67their camels, four hundred thirty-five; their donkeys, six thousand seven hundred and twenty. 68Some of the heads of fathers’ households, when they came to Yahweh’s house which is in Jerusalem, offered willingly for God’s house to set it up in its place: 69they gave after their ability into the treasury of the work sixty-one thousand darics of gold, and five thousand minas of silver, and one hundred priests’ garments. 70So the priests, and the Levites, and some of the people, and the singers, and the porters, and the Nethinim, lived in their cities, and all Israel in their cities.
1Dit zijn de kinderen van dat landschap, die optogen uit de gevangenis, van de weggevoerden, die Nebukadnezar, koning van Babel, weggevoerd had naar Babel, die naar Jeruzalem en Juda zijn wedergekeerd, een iegelijk naar zijn stad; 2Dewelken kwamen met Zerubbabel, Jesua, Nehemia, Seraja, Reelaja, Mordechai, Bilsan, Mizpar, Bigvai, Rehum en Baena. Dit is het getal der mannen des volks van Israel. 3De kinderen van Paros, twee duizend honderd twee en zeventig. 4De kinderen van Sefatja, driehonderd twee en zeventig. 5De kinderen van Arach, zevenhonderd vijf en zeventig. 6De kinderen van Pahath-Moab, van de kinderen van Jesua-Joab, twee duizend achthonderd en twaalf. 7De kinderen van Elam, duizend tweehonderd vier en vijftig. 8De kinderen van Zatthu, negenhonderd zestig. 9De kinderen van Zakkai, zevenhonderd zestig. 10De kinderen van Bani, zeshonderd twee en veertig. 11De kinderen van Bebai, zeshonderd drie en twintig. 12De kinderen van Azgad, duizend tweehonderd twee en twintig. 13De kinderen van Adonikam, zeshonderd zes en zestig. 14De kinderen van Bigvai, twee duizend zes en vijftig. 15De kinderen van Adin, vierhonderd vier en vijftig. 16De kinderen van Ater, van Hizkia, acht en negentig. 17De kinderen van Bezai, driehonderd drie en twintig. 18De kinderen van Jora, honderd en twaalf. 19De kinderen van Hasum, tweehonderd drie en twintig. 20De kinderen van Gibbar, vijf en negentig. 21De kinderen van Bethlehem, honderd drie en twintig. 22De mannen van Netofa, zes en vijftig. 23De mannen van Anathoth, honderd acht en twintig. 24De kinderen van Azmaveth, twee en veertig. 25De kinderen van Kirjath-Arim, Cefira en Beeroth, zevenhonderd drie en veertig. 26De kinderen van Rama en Gaba, zeshonderd een en twintig. 27De mannen van Michmas, honderd twee en twintig. 28De mannen van Beth-El en Ai, tweehonderd drie en twintig. 29De kinderen van Nebo, twee en vijftig. 30De kinderen van Magbis, honderd zes en vijftig. 31De kinderen van den anderen Elam, duizend tweehonderd vier en vijftig. 32De kinderen van Harim, driehonderd en twintig. 33De kinderen van Lod, Hadid en Ono, zevenhonderd vijf en twintig. 34De kinderen van Jericho, driehonderd vijf en veertig. 35De kinderen van Senaa, drie duizend zeshonderd en dertig. 36De priesters. De kinderen van Jedaja, van het huis van Jesua, negenhonderd drie en zeventig. 37De kinderen van Immer, duizend twee en vijftig. 38De kinderen van Pashur, duizend tweehonderd zeven en veertig. 39De kinderen van Harim, duizend en zeventien. 40De Levieten. De kinderen van Jesua en Kadmiel, van de kinderen van Hodavja, vier en zeventig. 41De zangers. De kinderen van Asaf honderd acht en twintig. 42De kinderen der poortiers. De kinderen van Sallum, de kinderen van Ater, de kinderen van Talmon, de kinderen van Akkub, de kinderen van Hatita, de kinderen van Sobai; deze allen waren honderd negen en dertig. 43De Nethinim. De kinderen van Ziha, de kinderen van Hasufa, de kinderen van Tabbaoth; 44De kinderen van Keros, de kinderen van Siaha, de kinderen van Padon; 45De kinderen van Lebana, de kinderen van Hagaba, de kinderen van Akkub; 46De kinderen van Hagab, de kinderen van Samlai, de kinderen van Hanan; 47De kinderen van Giddel, de kinderen van Gahar, de kinderen van Reaja; 48De kinderen van Rezin, de kinderen van Nekoda, de kinderen van Gazzam; 49De kinderen van Uza, de zonen van Paeah, de kinderen van Bezai; 50De kinderen van Asna, de kinderen der Mehunim, de kinderen der Nefusim; 51De kinderen van Bakbuk, de kinderen van Hakufa, de kinderen van Harhur; 52De kinderen van Bazluth, de kinderen van Mehida, de kinderen van Harsa; 53De kinderen van Barkos, de kinderen van Sisera, de kinderen van Thamah; 54De kinderen van Neziah, de kinderen van Hatifa. 55De kinderen der knechten van Salomo. De kinderen van Sotai, de kinderen van Sofereth, de kinderen van Peruda; 56De kinderen van Jaala, de kinderen van Darkon, de kinderen van Giddel; 57De kinderen van Sefatja, de kinderen van Hattil, de kinderen van Pocheret-Hazebaim, de kinderen van Ami. 58Al de Nethinim, en de kinderen der knechten van Salomo, waren driehonderd twee en negentig. 59Dezen togen ook op van Tel-melah, Tel-harsa, Cherub, Addan en Immer; doch zij konden hunner vaderen huis en hun zaad niet bewijzen, of zij uit Israel waren. 60De kinderen van Delaja, de kinderen van Tobia, de kinderen van Nekoda, zeshonderd twee en vijftig. 61En van de kinderen der priesteren, de kinderen van Habaja, de kinderen van Koz, de kinderen van Barzillai, die van de dochteren van Barzillai, den Gileadiet, een vrouw genomen had, en naar hun naam genoemd was. 62Dezen zochten hun register, onder degenen, die in het geslachtsregister gesteld waren, maar zij werden niet gevonden; daarom werden zij als onreinen van het priesterdom geweerd. 63En Hattirsatha zeide tot hen, dat zij van de heiligste dingen niet zouden eten, totdat er een priester stond met urim en met thummim. 64Deze ganse gemeente te zamen was twee en veertig duizend driehonderd en zestig. 65Behalve hun knechten en hun maagden, die waren zeven duizend driehonderd zeven en dertig; en zij hadden tweehonderd zangers en zangeressen. 66Hun paarden waren zevenhonderd zes en dertig; hun muildieren, tweehonderd vijf en veertig; 67Hun kemelen, vierhonderd vijf en dertig; de ezelen, zes duizend zevenhonderd en twintig. 68En sommigen van de hoofden der vaderen, als zij kwamen ten huize des HEEREN, die te Jeruzalem woont, gaven vrijwilliglijk ten huize Gods, om dat te zetten op zijn vaste plaats. 69Zij gaven naar hun vermogen tot den schat des werks, aan goud, een en zestig duizend drachmen, en aan zilver, vijf duizend ponden, en honderd priesterrokken. 70En de priesters en de Levieten, en sommigen uit het volk, zo de zangers als de poortiers, en de Nethinim woonden in hun steden, en gans Israel in zijn steden.
Bonyeza Enter ili kuuwekea mstari huu rangi, kuandika maelezo au kuunakili. Vitufe vya mishale vinakupeleka kwenye mstari unaofuata.
Namba za mistari hufuata tafsiri uliyochagua, na katika sura chache zinaweza kutofautiana kwa mstari mmoja.