1Baada ya ukuta kukamilika kujengwa upya na nikaweka milango, mabawabu wa lango, waimbaji, na Walawi waliteuliwa. 2Nikamweka Hanani ndugu yangu kuwa kiongozi wa Yerusalemu, pamoja na Hanania jemadari wa ngome, kwa kuwa alikuwa mtu mwadilifu na mwenye kumcha Mungu kuliko watu wengine. 3Nikawaambia, “Malango ya Yerusalemu yasifunguliwe mpaka jua litakapokuwa limepanda. Walinzi wa malango wakiwa bado kwenye zamu, waamuru wafunge milango na waweke makomeo. Pia wateueni wenyeji wa Yerusalemu wawe walinzi, kila mmoja kwenye lindo lake, na wengine karibu na nyumba zao wenyewe.” 4Mji ulikuwa mkubwa, tena wenye nafasi nyingi, lakini walikuwepo watu wachache ndani yake, nazo nyumba zilikuwa bado ni magofu. 5Hivyo Mungu wangu akaweka moyoni mwangu kuwakusanya wakuu, maafisa na watu wa kawaida kwa ajili ya kuorodheshwa kulingana na jamaa zao. Nilikuta orodha ya vizazi ya wale waliokuwa wa kwanza kurudi toka utumwani. Haya ndiyo niliyokuta yameandikwa humo: 6Hawa ndio watu wa jimbo waliotoka uhamishoni, ambao Nebukadneza mfalme wa Babeli alikuwa amewachukua mateka (walirudi Yerusalemu na Yuda, kila mmoja kwenye mji wake, 7wakiwa wamefuatana na Zerubabeli, Yeshua, Nehemia, Azaria, Raamia, Nahamani, Mordekai, Bilshani, Mispereti, Bigwai, Nehumu na Baana): Orodha ya wanaume wa Israeli ilikuwa: 8wazao wa Paroshi 2,172 9wazao wa Shefatia 372 10wazao wa Ara 652 11wazao wa Pahath-Moabu (wa jamaa ya Yeshua na Yoabu) 2,818 12wazao wa Elamu 1,254 13wazao wa Zatu 845 14wazao wa Zakai 760 15wazao wa Binui 648 16wazao wa Bebai 628 17wazao wa Azgadi 2,322 18wazao wa Adonikamu 667 19wazao wa Bigwai 2,067 20wazao wa Adini 655 21wazao wa Ateri (kupitia Hezekia) 98 22wazao wa Hashumu 328 23wazao wa Besai 324 24wazao wa Harifu 112 25wazao wa Gibeoni 95 26watu wa Bethlehemu na Netofa 188 27watu wa Anathothi 128 28watu wa Beth-Azmawethi 42 29watu wa Kiriath-Yearimu, Kefira na Beerothi 743 30watu wa Rama na Geba 621 31watu wa Mikmashi 122 32watu wa Betheli na Ai 123 33watu wa Nebo 52 34wazao wa Elamu 1,254 35wazao wa Harimu 320 36wazao wa Yeriko 345 37wazao wa Lodi, Hadidi na Ono 721 38wazao wa Senaa 3,930 39Makuhani: wazao wa Yedaya (kwa jamaa ya Yeshua) 973 40wazao wa Imeri 1,052 41wazao wa Pashuri 1,247 42wazao wa Harimu 1,017 43Walawi: wazao wa Yeshua (kupitia Kadmieli kupitia jamaa ya Hodavia) 74 44Waimbaji: wazao wa Asafu 148 45Mabawabu wa malango: wazao wa // Shalumu, Ateri, Talmoni, // Akubu, Hatita na Shobai 138 46Watumishi wa Hekalu: wazao wa Siha, Hasufa, Tabaothi, 47wazao wa Kerosi, Sia, Padoni, 48wazao wa Lebana, Hagaba, Shalmai, 49wazao wa Hanani, Gideli, Gahari, 50wazao wa Reaya, Resini, Nekoda, 51wazao wa Gazamu, Uza, Pasea, 52wazao wa Besai, Meunimu, Nefusimu, 53wazao wa Bakbuki, Hakufa, Harhuri, 54wazao wa Basluthi, Mehida, Harsha, 55wazao wa Barkosi, Sisera, Tema, 56wazao wa Nesia na Hatifa. 57Wazao wa watumishi wa Solomoni: wazao wa Sotai, Soferethi, Perida, 58wazao wa Yaala, Darkoni, Gideli, 59wazao wa Shefatia, Hatili, Pokereth-Hasebaimu na Amoni. 60Watumishi wa Hekalu wote na wazao wa watumishi wa Solomoni 392 61Wafuatao walikuja kutoka miji ya Tel-Mela, Tel-Harsha, Kerubu, Adoni na Imeri, lakini hawakuweza kuthibitisha kwamba jamaa zao zilikuwa uzao wa Israeli: 62wazao wa // Delaya, Tobia na Nekoda 642 63Na kutoka miongoni mwa makuhani: wazao wa Hobaya, Hakosi na Barzilai (mtu aliyekuwa amemwoa binti wa Barzilai, Mgileadi, naye akaitwa kwa jina hilo). 64Hawa walitafuta orodha za jamaa zao, lakini hawakuonekana humo, kwa hiyo waliondolewa kutoka kundi la makuhani, kwa kuwa walihesabiwa kuwa najisi. 65Kwa hiyo, mtawala aliagiza kuwa wasile chochote miongoni mwa vyakula vitakatifu hadi kuwe kuhani atakayehudumu kwa Urimu na Thumimu. 66Jumla ya watu wote waliorudi walikuwa 42,360; 67tena zaidi ya hao walikuwepo watumishi wa kiume na wa kike 7,337; pia walikuwamo waimbaji wanaume na wanawake 245. 68Walikuwa na farasi 736, nyumbu 245 69ngamia 435 na punda 6,720. 70Baadhi ya viongozi wa jamaa walichangia kazi ya ujenzi. Mtawala alikabidhi kwenye hazina darkoni 1,000 za dhahabu, mabakuli 50, na mavazi 530 kwa ajili ya makuhani. 71Baadhi ya viongozi wa jamaa walikabidhi kwenye hazina darkoni 20,000 za dhahabu, na mane 2,200 za fedha kwa ajili ya kazi hiyo. 72Jumla ya matoleo ya watu wengine yalikuwa ni darkoni 20,000 za dhahabu, mane 2,000 za fedha, na mavazi sitini na saba ya makuhani. 73Makuhani, Walawi, mabawabu, waimbaji na watumishi wa Hekalu, pamoja na baadhi ya watu wengine na Waisraeli waliosalia waliishi katika miji yao wenyewe. Ilipotimia miezi saba, nao Waisraeli wakiwa tayari wanaishi katika miji yao,
1Now when the wall was built, and I had set up the doors, and the porters and the singers and the Levites were appointed, 2I put my brother Hanani, and Hananiah the governor of the castle, in charge of Jerusalem; for he was a faithful man, and feared God above many. 3I said to them, “Don’t let the gates of Jerusalem be opened until the sun is hot; and while they stand guard, let them shut the doors, and you bar them: and appoint watches of the inhabitants of Jerusalem, everyone in his watch, with everyone near his house.” 4Now the city was wide and large; but the people were few therein, and the houses were not built. 5My God put into my heart to gather together the nobles, and the rulers, and the people, that they might be reckoned by genealogy. I found the book of the genealogy of those who came up at the first, and I found written therein: 6These are the children of the province, who went up out of the captivity of those who had been carried away, whom Nebuchadnezzar the king of Babylon had carried away, and who returned to Jerusalem and to Judah, everyone to his city; 7who came with Zerubbabel, Jeshua, Nehemiah, Azariah, Raamiah, Nahamani, Mordecai, Bilshan, Mispereth, Bigvai, Nehum, Baanah. The number of the men of the people of Israel: 8The children of Parosh, two thousand one hundred seventy-two. 9The children of Shephatiah, three hundred seventy-two. 10The children of Arah, six hundred fifty-two. 11The children of Pahathmoab, of the children of Jeshua and Joab, two thousand eight hundred eighteen. 12The children of Elam, one thousand two hundred fifty-four. 13The children of Zattu, eight hundred forty-five. 14The children of Zaccai, seven hundred sixty. 15The children of Binnui, six hundred forty-eight. 16The children of Bebai, six hundred twenty-eight. 17The children of Azgad, two thousand three hundred twenty-two. 18The children of Adonikam, six hundred sixty-seven. 19The children of Bigvai, two thousand sixty-seven. 20The children of Adin, six hundred fifty-five. 21The children of Ater, of Hezekiah, ninety-eight. 22The children of Hashum, three hundred Twenty-eight. 23The children of Bezai, three hundred twenty-four. 24The children of Hariph, one hundred twelve. 25The children of Gibeon, ninety-five. 26The men of Bethlehem and Netophah, one hundred eighty-eight. 27The men of Anathoth, one hundred twenty-eight. 28The men of Beth Azmaveth, forty-two. 29The men of Kiriath Jearim, Chephirah, and Beeroth, seven hundred forty-three. 30The men of Ramah and Geba, six hundred twenty-one. 31The men of Michmas, one hundred and twenty-two. 32The men of Bethel and Ai, a hundred twenty-three. 33The men of the other Nebo, fifty-two. 34The children of the other Elam, one thousand two hundred fifty-four. 35The children of Harim, three hundred twenty. 36The children of Jericho, three hundred forty-five. 37The children of Lod, Hadid, and Ono, seven hundred twenty-one. 38The children of Senaah, three thousand nine hundred thirty. 39The priests: The children of Jedaiah, of the house of Jeshua, nine hundred seventy-three. 40The children of Immer, one thousand fifty-two. 41The children of Pashhur, one thousand two hundred forty-seven. 42The children of Harim, one thousand seventeen. 43The Levites: the children of Jeshua, of Kadmiel, of the children of Hodevah, seventy-four. 44The singers: the children of Asaph, one hundred forty-eight. 45The porters: the children of Shallum, the children of Ater, the children of Talmon, the children of Akkub, the children of Hatita, the children of Shobai, one hundred thirty-eight. 46The Nethinim: the children of Ziha, the children of Hasupha, the children of Tabbaoth, 47the children of Keros, the children of Sia, the children of Padon, 48the children of Lebana, the children of Hagaba, the children of Salmai, 49the children of Hanan, the children of Giddel, the children of Gahar, 50the children of Reaiah, the children of Rezin, the children of Nekoda, 51the children of Gazzam, the children of Uzza, the children of Paseah. 52The children of Besai, the children of Meunim, the children of Nephushesim, 53the children of Bakbuk, the children of Hakupha, the children of Harhur, 54the children of Bazlith, the children of Mehida, the children of Harsha, 55the children of Barkos, the children of Sisera, the children of Temah, 56the children of Neziah, the children of Hatipha. 57The children of Solomon’s servants: the children of Sotai, the children of Sophereth, the children of Perida, 58the children of Jaala, the children of Darkon, the children of Giddel, 59the children of Shephatiah, the children of Hattil, the children of Pochereth Hazzebaim, the children of Amon. 60All the Nethinim, and the children of Solomon’s servants, were three hundred ninety-two. 61These were those who went up from Tel Melah, Tel Harsha, Cherub, Addon, and Immer; but they could not show their fathers’ houses, nor their seed, whether they were of Israel: 62The children of Delaiah, the children of Tobiah, the children of Nekoda, six hundred forty-two. 63Of the priests: the children of Hobaiah, the children of Hakkoz, the children of Barzillai, who took a wife of the daughters of Barzillai the Gileadite, and was called after their name. 64These searched for their genealogical records, but couldn’t find them. Therefore were they deemed polluted and put from the priesthood. 65The governor said to them, that they should not eat of the most holy things, until there stood up a priest with Urim and Thummim. 66The whole assembly together was forty-two thousand three hundred sixty, 67besides their male servants and their female servants, of whom there were seven thousand three hundred thirty-seven: and they had two hundred forty-five singing men and singing women. 68Their horses were seven hundred thirty-six; their mules, two hundred forty-five; 69their camels, four hundred thirty-five; their donkeys, six thousand seven hundred twenty. 70Some from among the heads of fathers’ households gave to the work. The governor gave to the treasury one thousand darics of gold, fifty basins, and five hundred thirty priests’ garments. 71Some of the heads of fathers’ households gave into the treasury of the work twenty thousand darics of gold, and two thousand two hundred minas of silver. 72That which the rest of the people gave was twenty thousand darics of gold, and two thousand minas of silver, and sixty-seven priests’ garments. 73So the priests, and the Levites, and the porters, and the singers, and some of the people, and the Nethinim, and all Israel, lived in their cities. When the seventh month had come, the children of Israel were in their cities.
1Voorts geschiedde het, als de muur gebouwd was, dat ik de deuren oprichtte, en de poortiers, en de zangers, en de Levieten werden besteld. 2En ik gaf bevel aan mijn broeder Hanani, en aan Hananja, den overste van den burg te Jeruzalem, want hij was als een man van getrouwheid, en godvrezende boven velen. 3En ik zeide tot hen: Laat de poorten van Jeruzalem niet geopend worden, totdat de zon heet wordt, en terwijl zij daarbij staan, laat hen de deuren sluiten, betast gij ze dan; en dat men wachten zette, inwoners van Jeruzalem, een iegelijk op zijn wacht, en een iegelijk tegenover zijn huis. 4De stad nu was wijd van ruimte en groot; doch des volks was weinig daarbinnen; en de huizen waren niet gebouwd. 5Zo gaf mijn God in mijn hart, dat ik de edelen, en de overheden, en het volk verzamelde, om de geslachten te rekenen; en ik vond het geslachtsregister dergenen, die in het eerst waren opgetogen, en vond daarin geschreven aldus: 6Dit zijn de kinderen van dat landschap, die optogen uit de gevangenis der weggevoerden, die Nebukadnezar, koning van Babel, weggevoerd had, en die wedergekeerd zijn naar Jeruzalem en naar Juda, een iegelijk tot zijn stad; 7Dewelke kwamen met Zerubbabel, Jesua, Nehemia, Azaria, Raamja, Nahamani, Mordechai, Bilsan, Mispereth, Bigvai, Nehim en Baena. Dit is het getal der mannen van het volk van Israel. 8De kinderen van Parhos waren twee duizend, honderd twee en zeventig; 9De kinderen van Sefatja, driehonderd twee en zeventig; 10De kinderen van Arach, zeshonderd twee en vijftig; 11De kinderen van Pahath-Moab, van de kinderen van Jesua en Joab, twee duizend, achthonderd en achttien; 12De kinderen van Elam, duizend, tweehonderd vier en vijftig; 13De kinderen van Zatthu, achthonderd vijf en veertig; 14De kinderen van Zakkai, zevenhonderd en zestig; 15De kinderen van Binnui, zeshonderd acht en veertig; 16De kinderen van Bebai, zeshonderd acht en twintig; 17De kinderen van Azgad, twee duizend, driehonderd twee en twintig; 18De kinderen van Adonikam, zeshonderd zeven en zestig; 19De kinderen van Bigvai, twee duizend, zeven en zestig; 20De kinderen van Adin, zeshonderd vijf en vijftig; 21De kinderen van Ater, van Hizkia, acht en negentig; 22De kinderen van Hassum, driehonderd acht en twintig; 23De kinderen van Bezai, driehonderd vier en twintig; 24De kinderen van Harif, honderd en twaalf; 25De kinderen van Gibeon, vijf en negentig; 26De mannen van Bethlehem en Netofa, honderd acht en tachtig; 27De mannen van Anathoth, honderd acht en twintig; 28De mannen van Beth-Azmaveth, twee en veertig; 29De mannen van Kirjath-Jearim, Cefira en Beeroth, zevenhonderd drie en veertig; 30De mannen van Rama en Gaba, zeshonderd en twintig; 31De mannen van Michmas, honderd twee en twintig; 32De mannen van Beth-El en Ai, honderd drie en twintig; 33De mannen van het andere Nebo, twee en vijftig; 34De kinderen des anderen Elams, duizend, tweehonderd vier en vijftig; 35De kinderen van Harim, driehonderd en twintig; 36De kinderen van Jericho, driehonderd vijf en veertig; 37De kinderen van Lod, Hadid en Ono, zevenhonderd een en twintig; 38De kinderen van Senaa, drie duizend, negenhonderd en dertig; 39De priesters: de kinderen van Jedaja, van het huis van Jesua, negenhonderd drie en zeventig; 40De kinderen van Immer, duizend twee en vijftig; 41De kinderen van Pashur, duizend, tweehonderd zeven en veertig; 42De kinderen van Harim, duizend en zeventien; 43De Levieten: de kinderen van Jesua, van Kadmiel, van de kinderen van Hodeva, vier en zeventig; 44De zangers: de kinderen van Asaf, honderd acht en veertig; 45De poortiers: de kinderen van Sallum, de kinderen van Ater, de kinderen van Talmon, de kinderen van Akkub, de kinderen van Hatita, de kinderen van Sobai, honderd acht en dertig; 46De Nethinim: de kinderen van Ziha, de kinderen van Hasufa, de kinderen van Tabbaoth; 47De kinderen van Keros, de kinderen van Sia, de kinderen van Padon; 48De kinderen van Lebana, de kinderen van Hagaba, de kinderen van Salmai; 49De kinderen van Hanan, de kinderen van Giddel, de kinderen van Gahar; 50De kinderen van Reaja, de kinderen van Rezin, de kinderen van Nekoda; 51De kinderen van Gazzam, de kinderen van Uzza, de kinderen van Paseah; 52De kinderen van Bezai, de kinderen van Meunim, de kinderen van Nefussim; 53De kinderen van Bakbuk, de kinderen van Hakufa, de kinderen van Harhur; 54De kinderen van Bazlith, de kinderen van Mehida, de kinderen van Harsa; 55De kinderen van Barkos, de kinderen van Sisera, de kinderen van Thamah; 56De kinderen van Neziah, de kinderen van Hatifa; 57De kinderen der knechten van Salomo; de kinderen van Sotai, de kinderen van Sofereth, de kinderen van Perida; 58De kinderen van Jaela, de kinderen van Darkon, de kinderen van Giddel; 59De kinderen van Sefatja, de kinderen van Hattil, de kinderen van Pochereth van Zebaim, de kinderen van Amon; 60Al de Nethinim, en de kinderen der knechten van Salomo, waren driehonderd twee en negentig. 61Ook togen dezen op van Thel-melah, Thel-harsa, Cherub, Addon en Immer; maar zij konden hunner vaderen huis, en hun zaad niet tonen, of zij uit Israel waren; 62De kinderen van Delaja, de kinderen van Tobia, de kinderen van Nekoda, zeshonderd twee en veertig. 63En van de priesteren, de kinderen van Habaja, de kinderen van Koz, de kinderen van Barzillai, die een vrouw van de dochteren van Barzillai, den Gileadiet, genomen had, en naar hun naam genoemd was. 64Dezen zochten hun geschrift, willende hun geslacht rekenen, maar het werd niet gevonden; daarom werden zij als onreinen van het priesterdom geweerd. 65En Hattirsatha zeide tot hen, dat zij van de heiligste dingen niet zouden eten, totdat er een priester stond met urim en thummim. 66Deze ganse gemeente te zamen was twee en veertig duizend, driehonderd en zestig; 67Behalve hun knechten en hun maagden, die waren zeven duizend, driehonderd zeven en dertig; en zij hadden tweehonderd vijf en veertig zangers en zangeressen. 68Hun paarden, zevenhonderd zes en dertig; hun muildieren, tweehonderd vijf en veertig; 69Kemelen, vierhonderd vijf en dertig; ezelen, zes duizend, zevenhonderd en twintig. 70Een deel nu van de hoofden der vaderen gaven tot het werk. Hattirsatha gaf tot den schat, aan goud, duizend drachmen, vijftig sprengbekkens, vijfhonderd en dertig priesterrokken. 71En anderen van de hoofden der vaderen gaven tot den schat des werks, aan goud, twintig duizend drachmen, en aan zilver, twee duizend en tweehonderd ponden. 72En wat de overigen des volks gaven, was aan goud, twintig duizend drachmen, en aan zilver, twee duizend mijnen, en zeven en zestig priesterrokken. 73En de priesters, en de Levieten, en de poortiers, en de zangers, en sommigen van het volk, en de Nethinim, en gans Israel, woonden in hun steden.
Bonyeza Enter ili kuuwekea mstari huu rangi, kuandika maelezo au kuunakili. Vitufe vya mishale vinakupeleka kwenye mstari unaofuata.
Namba za mistari hufuata tafsiri uliyochagua, na katika sura chache zinaweza kutofautiana kwa mstari mmoja.